Napitia katika changamoto kubwa

Acha uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0757495039,nichek watsup nikushauli jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'nina GPA ya 32 na nimesoma SUA Dodoma... Engineering; IRA sina kazi yoyote..'

naona ingependeza tuyajenge.?

2gether as one babe.!
 
Pole sana umenikumbusha mbali sana,nakumbuka nilikuwa na rafiki mmoja a wakati huo alikuwa kama na miaka 33,hana mume wala mtoto,kuona umri unamtupa mkono sababu hata waliokuwa wanampa mambo ikawa shikamo dada,mara ghafla nakutongozwa na maneno kama nakupenda yakapungua,ghafla akajikuta anahitaji mtoto kwa khali na mali,mimba akapata mwisho wa siku akajifungua baada ya wiki moja akafa mtoto akabaki,na mbaya zaidi hata baba wa mtoto aliingia mitini ni kama vile alimlazimisha wazae ingawa inaoneka jamaa hakutaka kabisa,toka dada ana mimba mpaka anakufa jamaa hakutokea kabisa ikabidi siku za kliniki unavaa uhusika sababu tulikuwa tunaheshimiana mno,ushauri wangu kwako usilazimishe vitu unaweza pata hitaji la moyo wako kwa gharama kubwa,yote mkabidhi Mungu
Kuna watu wameolewa lakini hawana vizazi,kuna watu hawajaolewa lakini wana watoto,kuna watu hawajaolewa na pia niwagumba,Mungu ndiye hutoa yote,lakini pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah maisha mitihani sana
 
Nafikiri ungeomba ndoa kwanza, hayo ya mtoto naona unakuwa selfish!!! Dont you think hao watoto wangependa kuzaliwa na kulelewa katika ndoa na wakapata mapenzi ya wazazi wao wote?!!!!

Hiyo desparation ndio itakayokuingiza kwenye matatizo makubwa kuliko hata hayo ya kukosa mtoto na mume.
 
PM yako naiona kama imejaa vile...
Wazungu wanasemaga...
In the middle of each difficult LIES an OPPORTUNITY.
Pia husema...
Better late than never, kwako naona TUMAINI bado, TRUST ME "Yajayo yanafurahisa JE! upo tayari".?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana leo nimeona niseme labda naweza punguza mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…