Napita naomba rifti mtanisamehe hii ya peke yangu!!

Hili neno naona umelirudia mara mbili kwa njia ile ile... Usirudie tena watakucheka watu... afu sio GPRS ni GPS, GPRS ni data service... na bado GPS hauandiki.. GPS ni system sio namba ya kuandika, unachofanya ni kuandika location ya mtu kwenye mtambo wenye GPS, au waweza kusema kuandika kwenye GPS pia japo si accurate sana... ila kuandika GPRS umeenda chaka sana aisee...

Heli ukosee usahihishwe ni moja ya Kujua na kuelewa na Kushukuru ngoja nikubadikie Habari yenyewe na jinsi linavyofanya kazi .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom