madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,421
- 864
- Thread starter
-
- #21
Inaweza ikawa hivyoha ha ha atakua kafundwa kwenye magroup ya whatssap na facebook! haya magroup noma sana...ila si unaenjoy?
wasiwasi tu wa mabadiliko tabia nchiUnafurahia? Na si ndicho ulikua ukikitamani? Hebu acha mwanamama aaply maujuzi. 😱
ya nini ufe na kihorochunguza ila uwe na kifua
ya nini ufe na kihorochunguza ila uwe na kifua
bas endelea kupata mahaba mapya dailyya nini ufe na kihoro
Kwani umemnunulia smart phone? atakuwa anaangalia porno anajufunzia huko au kuna group la whatssap jipya linamfundisha mambo ya kikubwaSalaam
Nimeshtushwa kidogo na tabia ya wife ambayo hapo kabla alikuwa hana hivi sasa mapenzi yamekuwa moto kiasi cha kuanzisha yeye shughuli nzima ya faragha na amekuwa hivi sasa ana mitindo mipya ya faragha,hata jina la baba nani sasa hivi halipo naitwa haya ya vijana darl au baby pia hataki ule mchezo tuupige kitandani na wakati wa kunitayarishia chakula atahakikisha nakula ziro distance huku akipapasa mgongo mmh
wadau hali hii kidogo inanitisha sasa sijui ndio ameamua kubadilika tu au natakiwa kupigwa mzinga nikawajengee wake sababu mabadiliko yamekuja ghafla
Au ndio nafunikwa macho afanye yake na serengeti
Mkuu kuna mitego ya aina nyingikweli baadhi ya wanaume tuna matatizo sana hatujui hata tunataka tufanyiwe jema gani, hivi yule aliyekuja lalamika mkewe anapenda kuangalia mpira ni ndugu yako?
Tusipojiongeza mnalalamika tumejibweteka hatuna ubunifu. Tufanyeje?hakuna zaidi ya pole!
Mhudumuuuuuuu..... kuja hapa mara moja.
Lete ya moto ingine, chenji rudisha hapa.