Nakubaliana kwamba Lema alipwe malimbikizo ya mshahara wake yanafikia Sh18.4 milion, hii ni haki pekee kwa Lema, sikupaliana kwamba kama mtu umesimamishwa wazifa wako basi umma uendelee kukulipa pesa bila kuutumikia.
Umepinga karibu kila kinacholipwa kwamba analipwa kwa kazi gani?
Je na huo mshahara alupwe kwa kazi gani?
Wivu mwingine bana....inabidi achukue fedha tote ili awatendee haki wale wote ambao haki zao zilikuwa zimecheleweshwa. Inabidi atumie mafuta kwa mfululizo bila likizo ili ajenge imani upya na watu wake ikiwa ni pamoja na kulinda kura zake kwa kutimiza ahadi alizowaahidi watu......aaaghhhh
mwenzio analipwa kulingana na kanuni, sheria na taratibu za bunge na ndo maana hadi leo hakuna mbunge aliyetokeza kupinga hayo malipo, je wewe umetumia sheria, kanuni na taratibu gani, za kutoka wapi? Kabla ya kupinga hayo malipo ulipaswa kutuletea ushahidi uliojitoshereza ili tukuunge mkono...Hoja ya msingi ni MALIPO YA LEMA YANAONYESHA UDHAIFU WA MFUMO WETU.
.....
Lazima Pro-Chadema watakuambia umetumwa kumchafua Lema, Chadema huwa hawana makosa ni chama cha mitume.
Kuna watu wamelala, kila kitu kwao ni siasa hata yasio ya kisiasa kisa umejata vipenzi vyao, nimesema nchi kwanza, hatuwezi kuendelea kwa kubeba/kutetea mifumo mibovu kama hii. nimepata experience ya vinchi viwili-vitatu hakuna matumizi ya kijinga kama haya, haki ya lema ni mshahara tu
Ndicho ninachopinga, malipo kama haya hapana kama yapo yaondolewe, watu walipwe mishahara yao tu
mwenzio analipwa kulingana na kanuni, sheria na taratibu za bunge na ndo maana hadi leo hakuna mbunge aliyetokeza kupinga hayo malipo, je wewe umetumia sheria, kanuni na taratibu gani, za kutoka wapi? Kabla ya kupinga hayo malipo ulipaswa kutuletea ushahidi uliojitoshereza ili tukuunge mkono
kisheria
mahakama inapo kurudisha kwenye kazi yako uwe mbunge au mfanyakazi mwingine
ni kuwa ulistahili kuwepo kazini kwa muda wote uliokuwa nje
kwa hio lazima alipwe stahiki zake zote na fidia juu
hiyo ni sheria na ni lazima alipwe
soma sheria ya ajira na mahusiano kazini
soma pia hukumu ya lema.
labda cha kuhoji hapa ni mafao makubwa wanayopewa wabunge
bila kukatwa kodi na fedha hizo hazionekanai majimboni
kabla ya hayo malalamishi jiulize kulikuwa na haja gani ya kusimamisha lema ubunge. vile vile lema anaprogram za jimbo lake alikuwa amejiwekea kutekeleza ni lazima azimalize kwa hiyo mipango hiyo atatumia fedha hiyo kutekeleza /to match the program set already. hiyo sio pesa ya kula ugali na mkewe. haujajuwa kipindi alichokuwa sio mbunge alishaona mbali atashinda kwa hiyo baadhi ya program nyingine alikuwa anatumia fedha yake zikawa zinaenda.punde apatapo fedha atakamilisha.shida hiyo walalamikie wanafiki wa ccm,mahakama za ccm zinasababisha hizi hasara nyingi.na lisiwe hili la lema tu pigana vita na mengine mengi ili pesa ya wanyonge isitumike ovyo.vile vile rasilimali za nchi ni pesa lia nazo.
Ndio maana namshawishi LEMA naye sijiunge kwenye huo ubinafsi kwa kuchukua hayo malipo ya poshoMtoa hoja una point nzuri. Ila ulichosahau hizi sheria zimewekwa na CCM kuwa vile kuwa akili ya CCM ni ya ubinafsi kiasi kwamba wanafikiri kuwa kila sheria ipo kwa ajili ya manual yao . Kwa akili yao walitegemea kuwa wapinzani watakuwa ndiyo watakuwa wanapinga matokeo ya uchaguzi kutokana rafu zao , hivyo hiyo sheria ilikuwa pale kuhakikisha hawapotezi kitu . Ufisadi mtupu.