Jig saw fit
Member
- Nov 30, 2011
- 89
- 25
Wewe umeona kwa Lema? Hao wanaoumwa mwaka mzima mbona wanalipwa? Wabunge wangapi huwa hawaonekani Bungeni na wanalipwa? Muhimu ni kuwauliza waliotunga sheria na si kumuuliza Lema, Make Magamba hamfikilii kabla ya kuongea, Unaleta Mambo ya Nepi na Kadi wakati yeye Anamiliki ya CCJ.......
Mkuu upo sahihi, marehemu Sumari (RIP) anakuw mbunge mpk anafariki wala kuapishwa hakuwah coz alikuwa mgonjwa,wala bungeni hata siku moja hakuwah kuingia, hata kampen alikuw anafanyiwa lakini hiyo keki alikuwa anaipata na hatukuona humu magamba wakinena lolote!
Tukiwaambia katiba na sheria mpya mnaleta porojo, mwisho wenu magamba utafika tu, c mmeshaanza kuona mautumbo yenu