Julz
Senior Member
- Nov 10, 2010
- 107
- 22
Vikwazo yuko sahihi kabisa, Mhe. Lema hapaswi kulipwa fedha ambazo si stahili yake kwa sasa. Mfano mtumishi hawezi kudai hela ya posho (per diem) for instance pale anaporejeshwa kazini eti kwa kuwa tu ilikuwa imepangwa aende safari ya kikazi kabla hajasimamishwa!! Lema akipokea fedha hizo naye atakuwa ameliibia taifa kama mafisadi wengine tu!! Hatuwezi kuwa na double standards kwa kuwa tunampenda Lema au tunamchukia Chenge...