Napigwa na kunyimwa unyumba.

Napigwa na kunyimwa unyumba.

Nisaidieni jamani mateso bado yanaendelea


Duh, bado upo mitaa hiyo tu? Hadi mwanao wa kwanza kafika miaka 12 baba unachezea kichapo? Ngoja aendelee kukutia adabu mpaka akili ikae sawa uache kumtegemea kwa kila kitu!
 
Sepaaaaaaaaaa mwachie nyumba ila ujue ndio atatafuta mwingine kuoa na ndoa ikatulia ni bahati sana kaka usiogope hasara badala ya kuteseka maisha yako yote duniani sepa na uanze kujipanga upya umri wako bado mdogo
 
We una asili ya Kenya.....maelezo yako unaonyesha mtu wa low esteem
 
Hii post ya mwaka 2010 kumbe?

Samahani mleta hoja are you Tanzanian or Kenyan?
 
Ndugu pole sana kwa masahibu yanayokukuta. Ila kama ni kweli mimi nakushauri uingie gym ufanye mazoezi ya nguvu kisha utafute sehemu wanayofanya mazoezi ya kupiga ngumi bila kumjulisha wife. Ukiona umekamilika na una pumzi ya kutosha unakula viagra kabisa na kisha unalianzisha. Akileta za kuleta unampa kipigo cha mbwa mwizi na ukimaliza kumshikisha adabu tu unadai ule mchezo wa kiutu uzima kwa lazima. Just thinking aloud.
 
Pole sana baba, maana ni wanaume wachache sana ambao wanapigwa na wake zao.


Mtafutie watu wazima waongee naye maana anayoyafanya siyo sahihi, hata kama anakuzi nguvu kwanini anakunyanyasa hivyo? Hata angekuwa mwanamke hasingekubali kutendwa hivyo.
 
ndoa naiona chungu na sijui la kufanya.
Mke wangu ananichukulia kama mtoto, aninaamrisha, ananitumikisha na pia huwa ananipiga.
Nimejaribu kupambana naye lakini nimejikuta nikiambulia maumivu na majeraha.
Sina pa kwenda kwani naishi naye kwenye tuliyoijenga wote.
Amekuwa na tabia ya kunikataza kuongea na baadhi ya marafiki zangu, na pia simu yangu amekuwa akinipora na kuangalia watu ninaowasiliana nao.
Nimezaa naye watoto wawili.
Mkubwa ana umri wa miaka tisa na mdogo wake ana umri wa miaka mitano.
Kibaya zaidi mtoto wetu mkubwa amekuwa akiwasilimulia wenzake jinsi ninavyokula kipondo.
Majirani wote wanajua taabu ninayoipata kutoka kwa mwanamke huyu wa kinyiha.
Unyumba ni hadi atake mwenyewe na nikimaliza kabla yake napigwa sana halafu naambiwa tuendelee na tendo la ndoa ambalo kwangu naona adhabu.
Nifanyeje kujinusuru na mateso haya?
ukiona maisha yanaziiiidi kuwa magumu...achaana nayo,tafuta shughuli ingine ya kufanya mangiiii!!!
 
Umesema mnyiha nimekuelewa. kama kuna wanawake wasiofaa katika makabila ya Tanzania ni wanyiha, ni wakatili kupita maelezo. Sishangai kama kweli umepigwa and hope sio hadithi ya kutunga. samahani kama kuna wanyiha humu.
Ndugu yangu alioa mnyiha, alimwachia nyumba mwanamke na kwenda kutafuta maisha mengine, sasa hivi he's quite happy without the useless mnyiha woman. Japo yeye hakuwahi kupigwa lakini mateso yake yalizidi anayepigwa. Pole ndugu yangu, najua cha moto unakiona kama ni kweli.
Pima thamani ya utu qako na gharama ya nyumba mliyojenga. kama unaona nyumba ina thamani zaidi, basi endelea kuishi kwa kipondo, kama unaona utu wako una thamani zaidi, basi sepa bila kujali watoto wala nini, kila kitu kitajiweka sawa mbele ya safari.
 
Mkuu mikela,

Next time akikuomba Game Jifanye Umekosea kwa Kupitiliza hadi 0713, from there onwards, Heshima yake kwako Itarejea
 
Last edited by a moderator:
...Samahani mtoa mada....imebidi nicheke kwanza aiseee....is this true mkuu? au ni fiction story?

Pale aliposema ananyimwa kuongea na rafiki zake, ndipo paliponiaminisha kuwa huu uzi ni real. Hii imekuwa ni tabia ya baadhi ya wanawake. Na hii trick huwa wanafundishwa na mama zao kwani inapofanikiwa inammaliza kabisa mwanaume.

Endapo akitii amri hii haramu ya kutokuongea na rafiki zake, atahamia kwa ndugu na hapo utakuwa mwisho wa kila kitu!
 
Prince Hope wanawake knows how to kill slowly
pale aliposema ananyimwa kuongea na rafiki zake, ndipo paliponiaminisha kuwa huu uzi ni real. Hii imekuwa ni tabia ya baadhi ya wanawake. Na hii trick huwa wanafundishwa na mama zao kwani inapofanikiwa inammaliza kabisa mwanaume.

Endapo akitii amri hii haramu ya kutokuongea na rafiki zake, atahamia kwa ndugu na hapo utakuwa mwisho wa kila kitu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom