Napigwa na kunyimwa unyumba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napigwa na kunyimwa unyumba.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Sep 2, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Ndoa naiona chungu na sijui la kufanya.
  Mke wangu ananichukulia kama mtoto, aninaamrisha, ananitumikisha na pia huwa ananipiga.
  Nimejaribu kupambana naye lakini nimejikuta nikiambulia maumivu na majeraha.
  Sina pa kwenda kwani naishi naye kwenye tuliyoijenga wote.
  Amekuwa na tabia ya kunikataza kuongea na baadhi ya marafiki zangu, na pia simu yangu amekuwa akinipora na kuangalia watu ninaowasiliana nao.
  Nimezaa naye watoto wawili.
  Mkubwa ana umri wa miaka tisa na mdogo wake ana umri wa miaka mitano.
  Kibaya zaidi mtoto wetu mkubwa amekuwa akiwasilimulia wenzake jinsi ninavyokula kipondo.
  Majirani wote wanajua taabu ninayoipata kutoka kwa mwanamke huyu wa kinyiha.
  Unyumba ni hadi atake mwenyewe na nikimaliza kabla yake napigwa sana halafu naambiwa tuendelee na tendo la ndoa ambalo kwangu naona adhabu.
  Nifanyeje kujinusuru na mateso haya?
   
 2. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Duh....! Pole sana. Mlie za kichina kidogo.
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Kumbe Mnyia mimi nilidhani mkulya!!Wewe unamlegezea ukiona anazingua usipige kama unapiga mamawatoto piga ngumi nzito za uso harudii!!Unipe jibu baada ya hapo kama amerudia au wewe ujai kiganjani mnaenda kubeba semi wakati wewe bajaji utakuwa ukibanjuliwa kila mara!!!
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Sep 2, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Aisee hii haijakaa vyema mwanaume unapigwa na mwanamke? Hii ndo kwanza naisikia by the way pole sana. Mueleze mkeo tu kuwa tabia hiyo si nzuri labda anaweza kukusikia
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Pole sna ndugu but ni hivi you only live once chagua moja kula kipondo maisha yako yote au kuangalia ustaarabu mwingine, mwenyewe ndo mwamuzi wa mwisho:confused2::confused2::confused2:
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Sep 2, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  JF bana....
   
 7. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...Samahani mtoa mada....imebidi nicheke kwanza aiseee....is this true mkuu? au ni fiction story?
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  :confused2:Kulikono NN?pekundu
   
 9. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  makubwa
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  :becky::becky:Ni wewe Mikela ama umemuwakilisha mtu
   
 11. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145

  Hapo ndio atalala nje kama sio kuwaleta wazee wamuombee msamahaa. Mimi naona kama vipi amuhamishe kule Uganda kunakoandaliwa sheria ya kudhibiti ubakaji ndani ya ndoa.
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Sep 2, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  This forum has degerated to the ranks of darhotwire. The topics are not as intriguing anymore.

  They just get recycled over and over. They lack any kind of value, be it intellectual or entertainment.

  It's just a stale routine of the same shit.
   
 13. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Achana na mzembe mzembe huyu
  Unapigwa na mkeo kisha unakuja kijiweni kulalamika na kuomba ushauri.
  Tulikutongozea sisi? Nenda kwao waeleze ama amua kula ngumu ndo iwe maisha yako.
  at least mwanaume mmoja in a million anapigwa na mkewe. huu ndo usawa wa kijinsia
   
 14. A

  Anold JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2010
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Pole sana, inaonyesha wewe ni mwanume mlegevu usiyejua kuisimamia nyumba yako kiasi cha mke kuona kuwa huna lolote hivyo anakuchukulia kuwa ni mtu wa kawaida.Jishughulishe uwe vizuri kifedha uone kama atakunyanyasa!!!!!
   
 15. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  au ndiyo wewe jirani yangu? jirani yangu ni mchaga ameoa mchaga mwenzake wa m*****e. hadi nauli ya dala dala lazima amwombe waifu, I bet huko ndani akikosa kuilipia lazima apigwa manake jamaa ni mtu mzima lakini kamama ni balaa. lol
   
 16. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Shit!!Shame on him just a joke in JF do you mean??
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Asante kaka kwa ushauri
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Ni mimi mama, uvumilivu umenishinda. Jumamosi alinirushia remote ya decoder ikanichana sehemu ya juu ya jicho langu la kusho.
  Ofisini jamaa wakadhani nimepigana baa
   
 19. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Ni mimi mama, uvumilivu umenishinda. Jumamosi alinirushia remote ya decoder ikanichana sehemu ya juu ya jicho langu la kushoto.
  Ofisini jamaa wakadhani nimepigana baa
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hehehehe ndo hasara ya kuoa mke baunsa pole yako, nenda kachanjie ngumi.
   
Loading...