Napigwa na kunyimwa unyumba.

Ni mimi mama, uvumilivu umenishinda. Jumamosi alinirushia remote ya decoder ikanichana sehemu ya juu ya jicho langu la kusho.
Ofisini jamaa wakadhani nimepigana baa

Kama vipi m-outsource mkeo kwa mwaka mmoja tu kule ukuryani, atanyooka tu!
 

Red: kwa ulegevu huo ulionao nina wasiwasi kama hilo tendo la ndoa unalimaliza kiume! am shocked!
 

alichokifunga mungu mwandamu awezi kukitenganisha


jf aiwezi kukutenganisha na mkeo


huo ni msalaba wako anguka nao mlilie mungu mwenyezi atamrekebisha

mungu akakuunganishe na mkeo na kumbadilisha mkeo in jesus name

chukua chumvi chuku damu ya yesu changanya mwagia maji mnayotumia yasemee

mwambie yesu naitaji miujiza wako usinipite kwa hili akika atakwenda kuwa

ushuhuda kwako...pole
 
Mkeo kaitikia wito wa sophia simba yule mama anayefikilia ngono tu kuwa wanawake wanyimeni unyumba wanaume zenu ambao hawaiungi mkono ccm..........
-kwanza inawezekana wewe ni mmoja wa waathilika wa suala hili km ndivyo nakushauri uhame cnadema nenda ccm ili urudishe hadhi ya ndoa yako
-pili waweza kumshitaki kwenye vyombo vya sheria sophia simba kwa kutumia madaraka yake vibaya kwa kuamua kwa makusudi na kwa kukusudia kuwashauri wanawake kuwakataa wanaume zao
-tatu fanya juhudi za kumpata sophia simba ili awe replacement ya mkeo kwani yeye hana mume wala bwana
 
Ni mimi mama, uvumilivu umenishinda. Jumamosi alinirushia remote ya decoder ikanichana sehemu ya juu ya jicho langu la kusho.
Ofisini jamaa wakadhani nimepigana baa

Pole sana naona wewe ni mpole ndo maana wife anakuonea ..kaa nae na umwambie siku ukianza wewe nyumba itageuka WWE kati ya Ken na SM Punk
 
...Samahani mtoa mada....imebidi nicheke kwanza aiseee....is this true mkuu? au ni fiction story?

Aisee mie nimecheka sana ...hizi zipo mkuu though inaweza kuwa ni fiction as welll but nshaishuhudia sampuli hii
 
Pole sana naona wewe ni mpole ndo maana wife anakuonea ..kaa nae na umwambie siku ukianza wewe nyumba itageuka WWE kati ya Ken na SM Punk

Kumbe unapenda mieleka ya WWE eeeh? Halafu ni CM Punk na sio SM Punk....

I hope huamini kuwa hao jamaa huwa wanapigana kweli...
 
Pole kaka ndio uume huo,9 Yrs leo ndio umeweza kusema?au kaanza juzi?Huyo Mama ndio wale ambao JK alikuwa akiwasifu juzi nini?Kuwa wako 5 wamefikia cheo karibu cha juu kabisa jeshini. Niliwaangalia hawana pete,nikasema duuu mungu epushia mbali ukimpata wa hivyo halafu akataka kukuonyesha vidume anavyovikimbiza kazini kwake!:confused2:
 
Ni mimi mama, uvumilivu umenishinda. Jumamosi alinirushia remote ya decoder ikanichana sehemu ya juu ya jicho langu la kushoto.
Ofisini jamaa wakadhani nimepigana baa

jamani haya mambo mnayoeleza hapa yawe ya kweli maana wengine hapa machozi yanatulengalenga!
sio siri unatia huruma!
ila kama alilainika ulipomtongoza akakukubali unashindwa vipi kumrekebisha?
kama ni kweli ina maana huna raha ya maisha kabisaaa ingekuwa mie ndo wewe ningeondoka nikatafute mwanamke niachane na huyo baunsa!
ila inachekesha kidogo,
pole!
 
...Samahani mtoa mada....imebidi nicheke kwanza aiseee....is this true mkuu? au ni fiction story?

Duh, mimi pia nilitaka kuuliza hilo swali. Hii ni kali kwakweli. Kisa cha kuvumilia shida zote hizo ni nini? Yaani namwachia nyumba hapo naishia zangu kutafuta maisha mengine. Lol. Pole sana kama hii ni story ya kweli.
 
kwa kweli inachekesha.atleast amekuwa mkweli,pengine wanaume wa j.f yanawakuta kama hayo,ila kusema wanashindwa.
 
Ni mimi mama, uvumilivu umenishinda. Jumamosi alinirushia remote ya decoder ikanichana sehemu ya juu ya jicho langu la kusho.
Ofisini jamaa wakadhani nimepigana baa
aaaahhhh
 

Ha ha ha ha KakaKiiza you just made my day :becky::becky::becky::becky::becky:
 

Duh hii ni kweli au ni fiction maana imebidi nianze kwa kucheka ndio nije nisikitike
 
Kama vipi uwe unaangalia WWE kila jumamosi ila wao wanasema DONT TRY THIS AT HOME kwahiyo kwa vile wewe unadundwa nyumbani I guess you better TRY IT AT HOME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…