Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,557
- 2,694
Tuletee kwanza pendekezo la JokateWakuu napendekeza jina rasmi la mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan liwe SASHA kama ambavyo watangulizi walikuwa na ufupisho.
Hayati Magufuli aliitwa kwa kifupi JPM yaani John Pombe Magufuli.
Mzee Kikwete aliitwa JK yaani Jakaya Kikwete.
Sasa na mama naomba Tumuite SASHA ikimaanisha
SA = Samia
S = Suluhu
HA = Hassan.
Hii SASHA ni rahisi kuitamka na kuiandika kulika SSH ambayo ni ngumu kuitamka na haileti utamu ule wa uwepesi kama Jeikei ama Jeipiem.
mama SASHA oyeeeee.