Napendekeza kwenu kuwa Ridhiwani Kikwete atatufaa sana Urais baada ya Magufuli

Huyu riziwani mpiga deal au Mwingine?

Basi tutamsimamisha Daduley Mbowe ashindane nae.
 
Kwangu Magufuli aongezewe walau miaka kumi ili amalizie hizi mega project mana zina manufaa mapana kwa Taifa letu

Kama hii miradi inatumia fedha za kodi hivyo hata yeye akimaliza muda wake kodi itaendelea kulipwa na miradi itaendelea!
 
Back
Top Bottom