Napenda wanawake wenzangu

Kuacha inawezekana kabisa ila awe karibu na wanaume kuliko wanawake
 
Hivi mwanamke ana date vipi na mwanamke mwenzake? mimi huwa sijui na inatokea vp la maombi yangu ni kuelimishwa kuhusu hilo maana silewi elewi vile maana wao ke hawana bunduki za rashasha tunazomiliki sisi
 
Bado hujapata kidume cha kukufanya utambue jinsia yako....endea ku google utapata mtu wakukupa mzigo hadi ujitambue
 
...unajini mahaba la kuvunja ndoa za watu...
 
Hao wake za watu sasa ni balaa ,Mungu aingilie kati kila kukicha majanga na vioja
 
Hapana ckupiga kura kwani kijijini kwetu mgombea wa CCM alipita bila kupingwa

Haya sawa.
Hongera sana na kila la heri.

Ombi kwako:Tunza hiyo ID yako mpya itatumika tena mwaka kesho kwenye uchaguzi mkuu...
 

Heeeeeeeeeeeeeeee kudadadadekiiiiiiiii
 

A very noble advice.

Lakini sasa asingeomba humu ushauri angekutanaje na ushauri wako huu mzuri?

I know a certain sister, ameshahangaika na hii kitu kwenye maombi mpaka basi, hadi kwa tb Joshua alishaenda, lakini anasema aliexperience changes for sometime then hali ile ikajirudia. Sasa sijui shida ilikuwa kwake au wapi.

Still kwa Yesu yote yanawezekana therefore press on
 
Nimeanza kuona changes kidogo!!Namshukuru Mungu.Japo saa nyingine nikitaka tu kuwaza ya nyuma nafafuta kitu kingine cha kufanya.Tangu niombe ushauri humu nimegundua kuna wanawake wengi sana wanaexperience kama mimi au wanapitia shida kama yangu na wanatamani kuwa tofauti.So kweli maombi ndio njia pekee na kuepuka mazingira yanayotufanya kurudi nyuma
 
Jf Kweli Inavituko Huyu Mtu Anarudia Threads Kwa Multiple Id Nyingine Invisible Umeliona Hili Janga La MaJunior Member
 
Last edited by a moderator:

Yaani nahisi ulikuwa katika sehemu ya maisha yangu.Nimelelewa maisha ya kipekee pekee sana.Huwa naambia wa nadeka tangu niko mtoto.Naogopa matatizo na ninapenda care maana niko so delicate naumia haraka sana.Huyu binti niliyefall nae inlove kwa mara ya kwanza alikuwa ananicare sana n kubioa moyo pale ninapopata matatizo.She was exceptional sana na nadhani niliwetaza kuwa nae jwa kuwa sikuwa nimewahi kuwa na boyfriend kabla yake.She was the first person to kiss me with intimacy.I think hiyo ndio iliniaffect.Ila hawa wengine sina clear reasons kwa nn walinipenda sana japo pia walikuwa wananicare sana.However naamini nitabadilika maana ninafanya bidii sana na maombi pia
 
sasa mkiwa na wapenzi wako hao mnatumia dhana gani kuridhishana najiuliza tu wewe huwa unakuwa na nafasi ipi mwanaume au mwanamke
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…