Napenda Wanawake wembamba

Napenda Wanawake wembamba

Tena mnapendwa mno zaidi na zaidi kuliko cho chote kile
View attachment 1481977
sasa huyu sio kibonge..huyu ni kibonge classic. . wanawake kama hawa hata wakikufilisi sawa tu.. hiyo shape ukiwa na manzi type hiyo kwa room unaegesha kichwa chako kwenye ma+a<o baada ya mechi kali unaweza jikuta unalala hapo mpaka panakucha. .nausitamani kuamshwa
 
Hivi kuna mtu anapenda Mademu wembamba au mimi tu? Wembamba wazuri, mamanzi wengi wembamba nikiwaona nawaona wazuri.

Manzi mwembamba akivaa suruali ya kibana zile paja zinavyochongeka zinavutia. Siwezi kuwa na Manzi mnene simaanishi bonge hata aliye moderate, mimi wembamba ndio model zangu. Sijawai kuwa na manzi asiyekuwa mwembamba, mademu wangu wote wembamba.

Hawa viumbe wembamba ukiwakumbatia wako hot sana wanajoto fulani, sijui kwasababu ngozi yao na mifupa imekaribiana.

Wewe kama mimi tu..yan nsharogwa na mademu wembamba

Demu akiwa mwembamba nitafanya kila namna nimpate yan roho inasuhuzika kabisa.
 
Hakuna kitu hapo!tudemu twembamba ni liability sana yaani tukalio ukitushka tunajaa kiganjani,any way kila mtu na preference zake ila machibongo ni WATAMU mno mara elfu ya slim cell women#obheja
 
Ni suala la choice tu.

Mimi binafsi type zangu ni Mr Kagame.

Lakini nimempata Mr Big.

Very huge man.
Height weight kilo za kutosha.

Na pesa ya kutosha pia iko .
So mkuu unaweza penda huyo ukaangukia kwa kina tabu mtingita Goddess na maisha yakawa poa tu ukarufahia mapenzi.
Aiseeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom