Napenda Wanawake wembamba

Napenda Wanawake wembamba

Wembamba wazuri lakn mnawaonaje hawa wenye shape zao kuna mda unaona shape had unataman uzmie
 
Hivi kuna mtu anapenda Mademu wembamba au mimi tu? Wembamba wazuri, mamanzi wengi wembamba nikiwaona nawaona wazuri.

Manzi mwembamba akivaa suruali ya kibana zile paja zinavyochongeka zinavutia. Siwezi kuwa na Manzi mnene simaanishi bonge hata aliye moderate, mimi wembamba ndio model zangu. Sijawai kuwa na manzi asiyekuwa mwembamba, mademu wangu wote wembamba.

Hawa viumbe wembamba ukiwakumbatia wako hot sana wanajoto fulani, sijui kwasababu ngozi yao na mifupa imekaribiana.
Kwamba una mademu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom