Napenda Wanawake wembamba

Napenda Wanawake wembamba

Ni suala la choice tu.

Mimi binafsi type zangu ni Mr Kagame.

Lakini nimempata Mr Big.

Very huge man.
Height weight kilo za kutosha.

Na pesa ya kutosha pia iko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
So mkuu unaweza penda huyo ukaangukia kwa kina tabu mtingita Goddess na maisha yakawa poa tu ukarufahia mapenzi.
 
Huwa napenda wanawake wembamba, hata ukiingia nae club, bar guest/lodge then ukazuka moto unamweka begani na kukimbia zako [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Hata jimama unaweza kukimbia nalo cha muhimu tu afya yako isiwe mgogoro [emoji16][emoji16][emoji16]
f4597698-f0c9-4d73-a92a-91d67450bc03.jpg
 
Hata jimama unaweza kukimbia nalo cha muhimu tu afya yako isiwe mgogoro [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1481994
Hapo hukimbii hata mita 25 [emoji38][emoji38][emoji38]ni sawa na kuwa umebeba Dumu la lita 40 [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Sura ya asili ya mwanamke hutoka wakati mwanamke ni mwembamba. Lakini, kwa maoni yangu, nyembamba sana inapunguza mvuto wa kijinsia wa mwanamke
 
Bby [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani mimi ni kipipa kweliiiii???
sasa kama ni kipipa usielezwe ukweli..au wataka akudanganye😃😃
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom