Bubolwa Chura
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 299
- 564
Nimewaza kwa sauti tu, hahahaHii comment imenivunja mbavu !![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimewaza kwa sauti tu, hahahaHii comment imenivunja mbavu !![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
50/50 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ni sawa kuwa na choice . mimi pia napenda wanaume wembamba. yani nikiona mwanaume ana kitambi hamu inaisha.
Ukipata mwembamba naturally sawa, lakin ukipata aliyekonda kisa magonjwa ya hapa na pale, ndio utajua dunia ikoje.
Na vinakuaga na madeko usipime.
Mnyama mkaliMayooo[emoji38][emoji38] mwenzio anapenda vyembamba ila minyama ikipita anatamani
ni sawa kuwa na choice . mimi pia napenda wanaume wembamba. yani nikiona mwanaume ana kitambi hamu inaisha.
Ndo wahongaji wazuri hao
Tena mnapendwa mno zaidi na zaidi kuliko cho chote kile [emoji7][emoji7][emoji7]Kwa niaba ya Michelin wote nasema tusiumizwe na mada ya mleta hata sisi tunapendwa..[emoji41]
Ooh.. hallelujah!!!..Glory to our Good Lord ...AmeeeenTena mnapendwa mno zaidi na zaidi kuliko cho chote kile [emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 1481977
Unaikumbuka hiyo avatar? Irudishe pulizi [emoji16][emoji16][emoji1545]Ooh.. hallelujah!!!..Glory to our Good Lord ...Ameeeen