hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,147
- 72,893
😃😃😃Hivi umekuwaje lakini![]()
😃😃😃Hivi umekuwaje lakini![]()

It shouldn't be that way. Anatakiwa ajiamini jinsi alivyo. Wanaume wapo wa kumwaga, kila mtu lazima apate wakeSure, Kuna mdada kibonge huko atakosa confidence, hata mwanaume akimfuata atamkataa maana atahisi anadhihakiwa!

Unavijua vyuma haramiaMimi kama hudda hivi fresh yani kiroho safiii

Huyo mwenyewe kiongozi

Tulia weweJamani hamuogopi kushitakiwa au mna hati miliki za picha hizo mnazo post
Hivi kuna mtu anapenda Mademu wembamba au mimi tu? Wembamba wazuri, mamanzi wengi wembamba nikiwaona nawaona wazuri.
Manzi mwembamba akivaa suruali ya kibana zile paja zinavyochongeka zinavutia. Siwezi kuwa na Manzi mnene simaanishi bonge hata aliye moderate, mimi wembamba ndio model zangu. Sijawai kuwa na manzi asiyekuwa mwembamba, mademu wangu wote wembamba.
Hawa viumbe wembamba ukiwakumbatia wako hot sana wanajoto fulani, sijui kwasababu ngozi yao na mifupa imekaribiana.

kumbe tuko wengi tunaofarijiana eeeh!!aaaaa kaka madem wembamba mmh jau bhana ww ka dem unakua nako mkitembea unaonwkana una kazulumu chakula..unakuta kana kikono chembamba ka mwiko. ani unakuta kigimbi na tako vinauwiano aa weee wemabamba wengine siooHivi kuna mtu anapenda Mademu wembamba au mimi tu? Wembamba wazuri, mamanzi wengi wembamba nikiwaona nawaona wazuri.
Manzi mwembamba akivaa suruali ya kibana zile paja zinavyochongeka zinavutia. Siwezi kuwa na Manzi mnene simaanishi bonge hata aliye moderate, mimi wembamba ndio model zangu. Sijawai kuwa na manzi asiyekuwa mwembamba, mademu wangu wote wembamba.
Hawa viumbe wembamba ukiwakumbatia wako hot sana wanajoto fulani, sijui kwasababu ngozi yao na mifupa imekaribiana.

🤫Tulia wewe
Kumbe kaka unapenda vibonge ee..utakuwa mwembamba wewe😅😅Nyie in was kwetu sisi
Naona unafukua makaburi mkuu 😅 😅Kumbe kaka unapenda vibonge ee..utakuwa mwembamba wewe😅😅
Kaka unapitwa kwenye lile jukwaaa..nimeachia kitu..Naona unafukua makaburi mkuu 😅 😅
Kumbe hujui kama Mimi mwembamba au mnene? Basis usibanduke kule selfika nashusha Mzigo uone umbo language halisi
Nimeshatia maguu na tayari nimeonyesha upendoKaka unapitwa kwenye lile jukwaaa..nimeachia kitu..
Siunajua mimi siahidiwagi ahadi hewa ee..sasa usipoweka kaka nakupiga chini
Basi sikupigi chini kaka nimeghairi..😊😊Nimeshatia maguu na tayari nimeonyesha upendo
We usithubutu kumpiga chini kaka yako no vibaya ujue, utapata laana buree
Sema kweli weweKaka unapitwa kwenye lile jukwaaa..nimeachia kitu..
Siunajua mimi siahidiwagi ahadi hewa ee..sasa usipoweka kaka nakupiga chini
Nimejaribu kuku angalia leo jumuiyani lkni siku kuona jirani..leo hujasali jumuiya jiraniNipo jirani sema siku hzi hamnipigii hodi mnaipita tu nyumba