Napenda sana watoto wa kike

Napenda sana watoto wa kike

Mimi namtazamo tofauti sana na thread hii, Mimi ukitaka nikimbie mimba niambie umenizalia mtoto wa kike aisee coz watoto wa kike wanamajanga kichizi yaani.

Majanga ya kuzalia nyumbani ama majanga yapi...?
 
Mleta mada acha ujinga, watu wanaandaa maisha ya badae ya vizazi vyao wewe unataka waje kukuhudumia
 
yani unafikiri mleta mada anaongelea passion...kalagabhao...

hata kama ni passion watoto wa kiume wanawapenda sana mama zao...na wa kike baba zao...uliza wenye watoto wa jinsia zote...

Naona we umeangalia upande wa materials,kuna wakati compassion na passion ni mhimu sana kuliko vitu. Labda kwakuwa mitazamo inabadilika kwa kasi,lakini wanawake inaaminika kuwa wana roho ya huruma kuriko wanaume.
 
Mimi namtazamo tofauti sana na thread hii, Mimi ukitaka nikimbie mimba niambie umenizalia mtoto wa kike aisee coz watoto wa kike wanamajanga kichizi yaani.

Ukitaka nikimbie mimba niambie umenizalia mtoto wa kike, kiswahili kumbe kweli ni lugha ngumu sn
Ndio maana hata kina Makinda wanalazimika kuongea kiswanglis.... FENK YU VELE MACHEEEE!
 
mmmhhhh me ninavyoju watoto wa kiume hawana shida kwa wazazi wao sisi tuko na broo etu anatukumbuka vizur tu tena sana sio wadogo zake tu na wazazi pia.
 
yani unafikiri mleta mada anaongelea passion...kalagabhao...hata kama ni passion watoto wa kiume wanawapenda sana mama zao...na wa kike baba zao...uliza wenye watoto wa jinsia zote...
Kimsingi mi naelewa points khs watoto wa kike kuwapenda baba zao na kinyume chake pia,lkn nisicho jua ni hii hali huwa haina ukomo? Na je mtoto wa kike na kiume wakiwa raised in similar circumstances do you expect same passion to their parents frm both?(hapa sipo ki materials zaidi)
 
Thread ya kipumbavu,sasa wewe usiandae maisha yako,eti unasubiri kutunzwa,nyie ndo mnakaribisha umasikin kwa watoto wenu.usipopewa hata buku nyie ndo wale mnaanza kulaani,ngoja nije nimuoe mtoto wako nione unasogeza hiyo 0714 uone nachokufanya..

Kutunzwa si lazimaa pesa, ni upendo na kuthaminiwa. Huku uzeeni ukipata watoto wanaokupigia simu kila siku kukuulizia unaendeleaje unafarijika sana na hii nimeiona zaidi kwa watoto wa kike ndio wepesi wa kukuulizia wazazi au kutembelea au kukuletea wajukuu wakusalimie. Kwa watoto wakiume ni ngumu kidogo ina depend na mke aliyeoa ana roho ya aina gani.
 
Mara nyingi tabia ya mtoto inatokana na malezi...kama wewe haujawai kuonyesha passion unategemea ajifunze wapi?
Nawajua wanaume ambao hawawezi kulala bila kuongea na mama zao kwa simu...unadhani kwa nini?
Tukubali kuwa kizazi cha wazazi wetu majority walikuwa wanawalea watoto utazani walimu...excessive power distance afu utegemee passion itoke wapi...

Huwezi okote embe chini ya mchungwa...

Na kwa kizazi cha wazazi wetu hata mtoto wa kike apigi simu daily...labda hayo material assistance pale shida inapotokea...ndio maana nasema kwenye passion haina kike wala kiume...malezi...passion ni give and take...

Kimsingi mi naelewa points khs watoto wa kike kuwapenda baba zao na kinyume chake pia,lkn nisicho jua ni hii hali huwa haina ukomo? Na je mtoto wa kike na kiume wakiwa raised in similar circumstances do you expect same passion to their parents frm both?(hapa sipo ki materials zaidi)
 
Mara nyingi tabia ya mtoto inatokana na malezi...kama wewe haujawai kuonyesha passion unategemea ajifunze wapi?Nawajua wanaume ambao hawawezi kulala bila kuongea na mama zao kwa simu...unadhani kwa nini?Tukubali kuwa kizazi cha wazazi wetu majority walikuwa wanawalea watoto utazani walimu...excessive power distance afu utegemee passion itoke wapi...Huwezi okote embe chini ya mchungwa...Na kwa kizazi cha wazazi wetu hata mtoto wa kike apigi simu daily...labda hayo material assistance pale shida inapotokea...ndio maana nasema kwenye passion haina kike wala kiume...malezi...passion ni give and take...
Well, mi sina statistical data ila nilikuwa niko fooled na ile tabia ya watoto wa kike kupenda shughuli za kijamii zaidi. Kuna mifano mingi ya watt wa kike hata kama ameolewa kwenda nyumbani kuuguza ikibidi kulala hospital na mgonjwa au kusaidia kazi za nyumbani wakati wa kuuguza. Mi hapa nna madume mawili na nill ke so usifikiri siwapendi wa kiume, I love them very much.
 
Ngoja nikuulize...mfano uugue ujiwezi; mtoto wako wa kike atalala na wewe hospitalini na wewe ni baba?
Haya mengine tumwachie Mungu...maana kuna limit kwa kila jinsia...


Well, mi sina statistical data ila nilikuwa niko fooled na ile tabia ya watoto wa kike kupenda shughuli za kijamii zaidi. Kuna mifano mingi ya watt wa kike hata kama ameolewa kwenda nyumbani kuuguza ikibidi kulala hospital na mgonjwa au kusaidia kazi za nyumbani wakati wa kuuguza. Mi hapa nna madume mawili na nill ke so usifikiri siwapendi wa kiume, I love them very much.
 
Ngoja nikuulize...mfano uugue ujiwezi; mtoto wako wa kike atalala na wewe hospitalini na wewe ni baba?Haya mengine tumwachie Mungu...maana kuna limit kwa kila jinsia...
Ok,anaweza asilale lakini kuna uwezekano mkubwa wakuja nyumbani kusaidia kutoa huduma nyingine wakati mama yake akiwa na mimi hospital(najua huwa kuna exceptions kwa kila mtazamo ila tuangalie majority, je me au ke?)
 
Mkeo kama keshatangulia mbele za haki...atakayekuangalia ukiwa ujiwezi hata kuoga nani?
Maana kiualisia kama mume na mke wapo hai huta feel kukosa passion mpaka uitafute kwa binti au kijana wako...

Ok,anaweza asilale lakini kuna uwezekano mkubwa wakuja nyumbani kusaidia kutoa huduma nyingine wakati mama yake akiwa na mimi hospital(najua huwa kuna exceptions kwa kila mtazamo ila tuangalie majority, je me au ke?)
 
Mkeo kama keshatangulia mbele za haki...atakayekuangalia ukiwa ujiwezi hata kuoga nani?Maana kiualisia kama mume na mke wapo hai huta feel kukosa passion mpaka uitafute kwa binti au kijana wako...
Well, naona nikubaliane na wewe kuwa kila mtoto ni mhimu,pia kuna limitations kwa yale tunayoweza kufanya kwa wazazi wetu. Na hizi limitations zitatofautiana kutokana na mazingira au hali zilizokuwepo na zilizopo wakati huo.
 
Nimemkumbuka Nonso Diobi mmoja wa actors wa Nigeria...mwaka jana amempa mama yake zawadi ya nyumba ya ghorofa...kuna vijana huwaambii kitu ikija kwa wazazi hasa mama zao...
 
Back
Top Bottom