Ukweli napenda sana mke wangu anizalie watoto wa kike wengi tu.
Wa kiume hata akipatikana mmoja siyo mbaya. Sababu wanapenda na kujali wazazi wao, wanaume wanapenda raha mjini wazazi wanalalia ngozi kijijini, akiambiwa wazazi wagonjwa, ataonekana siku ya msiba na video camera kuonyesha ufahari msibani.
Ukitaka kukosana na ladies mpishane kuhusu suala linalohusu mzazi wake anapokuwa na matatizo. Hongereni wa mama kwa upendo mlionao kwa wazazi wenu ndiyo maana nawapendeni. Mungu awabariki sana muendelee na upendo huohuo.