Napenda sana watoto wa kike

Napenda sana watoto wa kike

watoto wa kiume wanawapendaga mama zao..

Yaani umesema kweli DEMBA. Mama yangu nampenda sana nampenda pia mke wangu. Nikiwa na watoto wa kiume wengi ninafurahi kwa kuwa mke wangu hatapata tabu. Mimi sitegemei saaaana mambo ya kubebwabebwa na watoto labda jambo kubwa ambalo sina uwezo nalo.
 
Back
Top Bottom