Napenda sana watoto wa kike

Napenda sana watoto wa kike

ukweli napenda sana mke wangu anizalie watoto wa kike wengi tu.

Wa kiume hata akipatikana mmoja siyo mbaya. Sababu wanapenda na kujali wazazi wao, wanaume wanapenda raha mjini wazazi wanalalia ngozi kijijini, akiambiwa wazazi wagonjwa, ataonekana siku ya msiba na video camera kuonyesha ufahari msibani.

Ukitaka kukosana na ladies mpishane kuhusu suala linalohusu mzazi wake anapokuwa na matatizo. Hongereni wa mama kwa upendo mlionao kwa wazazi wenu ndiyo maana nawapendeni. Mungu awabariki sana muendelee na upendo huohuo.

nyambaff! Nyie ndo mnao wauza watoto wenu wa kike kwa wanaume!!!!
 
Watoto wa kike na wa kiume wote ni wazuri ila sababu ulizotoa hazina mashiko kwa mzazi wa 21 century...
Andaa maisha yako ya uzeeni...
Usitegemee kuwa mzigo kwa wanao wawe wa kike au wa kiume...

Nina watoto wa kiume tu...and I love them to death (and they love me too - law of attraction)...They complete my life....I need nothing more or less...
 
Sio kwel, sisi tumezaliwa wote madume na tupo karibu sana na mama kwenye njanja zote tena kulipo hata baba. so inategemea na malez ambayo mama alikulea.
 
mitoto ya kike mizuri kweli hasa udogoni unamremba utakavyo...sasa bwana vurugu mechi inaanza pale mzabzab mmoja anamwambia unajua wewe ni mzuri....humo ndani hakai kila saa yeye ataka ambiwe mzuri na akishaonja utamu ndio toba yalaaaaaaaaaaa
 
Hata mumemujengea mama yenu nyumba ni kwa kuvutana mashati na lawama kibao. Halafu mkuu unaonekana umepaniki sana, thrd imekugusa nini?? Au unatumia majani? Maana naona unashindwa kukotro akili yako

Hahaaaaaa,my god
 
Watoto wa kike na wa kiume wote ni wazuri ila sababu ulizotoa hazina mashiko kwa mzazi wa 21 century...
Andaa maisha yako ya uzeeni...
Usitegemee kuwa mzigo kwa wanao wawe wa kike au wa kiume...

Nina watoto wa kiume tu...and I love them to death (and they love me too - law of attraction)...They complete my life....I need nothing more or less...

Hata ujiandae vp lazima watoto utawategemea tu.
 
Ukweli napenda sana mke wangu anizalie watoto wa kike wengi tu.

Wa kiume hata akipatikana mmoja siyo mbaya. Sababu wanapenda na kujali wazazi wao, wanaume wanapenda raha mjini wazazi wanalalia ngozi kijijini, akiambiwa wazazi wagonjwa, ataonekana siku ya msiba na video camera kuonyesha ufahari msibani.

Ukitaka kukosana na ladies mpishane kuhusu suala linalohusu mzazi wake anapokuwa na matatizo. Hongereni wa mama kwa upendo mlionao kwa wazazi wenu ndiyo maana nawapendeni. Mungu awabariki sana muendelee na upendo huohuo.

Kweli kabisa,
 
Unataka uje kusaidiwa na mtoto wa kike?..anaenda kusuguliwa puchi halafu unaletewa hela? Ndio huruma unayotaka hiyo?
 
Ila sisi wanaume wengine ni hasara kweli. Badala ya kufanya kazi unafanya watoto vitega uchumi.
Usijisifu kuwa una mbio msifie na anaekukimbiza. Huyo mtoto w kike atakae kupa hiyo hela ujue ametoa kwenye mfuko w huyo mwanaume anayemchukua.
Fanya kazi acha kuwa na mawazo ya kimasikini.
 
Mimi namtazamo tofauti sana na thread hii, Mimi ukitaka nikimbie mimba niambie umenizalia mtoto wa kike aisee coz watoto wa kike wanamajanga kichizi yaani.
 
Kweli mkuu midume shida tupu na wazazi wa kiume wanapenda sana watoto wa kiume lakini wakikua wanavyowaangusha hadi wanabaki wanashangaa.

mtoto wa kiume usipomsaidia
mpaka uzeeni atakutegemea anakugongea chumnani kuomba ela ya sigara
 
kivipi? sana sana wao ndio watakaonitegemea mimi....maana maisha ya sasa kila siku afadhali ya jana
Naona we umeangalia upande wa materials,kuna wakati compassion na passion ni mhimu sana kuliko vitu. Labda kwakuwa mitazamo inabadilika kwa kasi,lakini wanawake inaaminika kuwa wana roho ya huruma kuriko wanaume.
 
Kwenye swala la kuwasaidia wazazi ni malezi tu ya watoto tangia mwanzo katika swala la utoaji....yani kumfundisha mtoto kutoa na kusaidia wenye mahitaji.....kuna wanawake hawawajali kabisa wazazi wao....na kuna wanaume yani usemi lolote kuhusu wazazi wao......na ukizingatia watoto wa kiume wanavyowapenda mama zao....acha tu
 
mtoto wa kiume usipomsaidia
mpaka uzeeni atakutegemea anakugongea chumnani kuomba ela ya sigara

Na wa kike usipomsaidia anafanyaje....si ndiyo mwanzo wa kuwa malaya.....watoto wote wanahitaji msingi mzuri tangia mwanzo...
 
Back
Top Bottom