Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
uliwaokota au ?
N'take radhi
uliwaokota au ?
Wanadeka sana watoto wa kike.
Madume 9?? Pole madam
Hahahahah....umefikiria nini?
Pole ya nini, najua wakikua sitalala njaa.
Nawanunulia silaha,wanaingia mzigoni.
mbona sisi tumemjengea mama yetu nyumba au sisi ni matahira au?acha zako wewe kuwa na adabu.
Teh teh teh na mtaji wa siku ni bastola na BOXER
Mie nikaaejaaliwa hayaa
ile mimba iliyeyukia wapi
kabisa kabisa mi binafs nna watoto wa kike tupu na sihitaji mwanaume kabisa akija labda by chance
hayo majani mama yako aliniletea?Hata mumemujengea mama yenu nyumba ni kwa kuvutana mashati na lawama kibao. Halafu mkuu unaonekana umepaniki sana, thrd imekugusa nini?? Au unatumia majani? Maana naona unashindwa kukotro akili yako
Haaaa si bado hajazaliwa....
Sijui jinsia itakuwaje
N'take radhi
Nina miaka 54 mkuu.
wanangu wamepishana mwaka mmoja mmoja
shikamoo mama
shikamoo mama