Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,325
home shopping ceo.jpg

home shopping2.jpg

Habari wadau..

Kiukweli mimi ni mkristo..

Ila napenda sana wadada wa kiislamu wanavyovaa mavazi yao na ushungii

Yaani yana staha sana na yanafanya uone mumewe anaenjoy sana..

Unamkuta mdada kashuka kwenye range lake na hijab yake...

na hata akivaa suti au formal dress la ofisini.. akipiga na ushungi wake anapendeza sana..

yaani unaona tofauti kubwa sana kati ya mke wa mtu wa kiislam na wa kikristo..

Mtu baba ana oil com, lake oil, home shopping na mabiashara mengine makubwa makubwa lakini ana staha.. hana dharau.. dress code ya heshima tele hadi unatamani awe wako..

Ila ukute mambo safi wa dini yetu..

Hicho kiminii.. kikuku na nyodo ofisini..

Hayo mavazi ni kama anashiriki umiss


Waislamu japo mna mapungufu yenu ila kwenye dress code ya wanawake mpo juu sana..

Kuna tofauti kubwa ya mavazi ya mwanamke aliyeolewa wa kiislam na kikristo..

Hata kumtongoza kipuuzi puuzi mtu unaogopa mavazi yake tu yalivyo mpa heshima kubwa...
 
Ni kweli nami ni muislam tunashkuru kwa hilo, ila mavazi ya hijab anaweza kuvaa yeyote ndio maana siku hizi misibani huwezi tofautisha mkristo na muislam maana tunavaa sana madira km sare n.k. Na suala la nyodo nalo ni la mtu binafsi wapo wakristo na wislamu wasiovaa hijab au staha lkn hawana nyodo na wapo wakristo na waislamu wanaojistiri pia wanazo nyodo ili mradi tu kila mtu na mapungufu yake. Ila kiheshma kujistiri ni muhimu maana yatakuepuka mengi pia itakujengea heshima kimtazamo.
 
habari wadau..

kiukweli mimi ni mkristo..

ila napenda sana wadada wa kiislamu wanavyovaa mavazi yao na ushungii

yaani yana staha sana na yanafanya uone mumewe anaenjoy sana..

unamkuta mdada kashuka kwenye range lake na hijab yake...

na hata akivaa suti au formal dress la ofisini.. akipiga na ushungi wake anapendeza sana..

yaani unaona tofauti kubwa sana kati ya mke wa mtu wa kiislam na wa kikristo..

mtu baba ana oil com, lake oil, home shopping na mabiashara mengine makubwa makubwa lakini ana staha.. hana dharau.. dress code ya heshima tele hadi unatamani awe wako..

ila ukute mambo safi wa dini yetu..

hicho kiminii.. kikuku na nyodo ofisini..

hayo mavazi ni kama anashiriki umiss


waslamu japo mna mapungufu yenu ila kwenye dress code ya wanawake mpo juu sana..

kuna tofauti kubwa ya mavazi ya mwanamke aliyeolewa wa kiislam na kikristo..

hata kumtongoza kipuuzi puuzi mtu unaogopa mavazi yake tu yalivyo mpa heshima kubwa...
Mimi ni mkristo pia, lakini huwa napenda wanawake wa kiislam wanavyo jistiri.

Dada zetu wa kiislam nawapa big up.
 
Ni kweli nami ni muislam tunashkuru kwa hilo, ila mavazi ya hijab anaweza kuvaa yeyote ndio maana siku hizi misibani huwezi tofautisha mkrosto na muislam maana tunavaa sana madira km sare n.k. Na suala la nyodo nalo ni la mtu binafsi wapo wakristo na wislamu wasiovaa hijab au staha lkn hawana nyodo na wapo wakristo na waislamu wanaojistiri pia wanazo nyodo ili mradi tu kila mtu na mapungufu yake. Ila kiheshma kujistiri ni muhimu maana yatakuepuka mengi pia itakujengea heshima kimtazamo.
Mkrosto
 
Wanawake wanavutia sana, ikitokea amelistiri umbo lake anavutia zaidi na kumheshimu pia, tofauti na mkeo akivaa kimini anaonekana viuongo vyake wazi wazi sana na wanaume wengine.

Akiwa anavaa hijab kichwani ina punguza gharama ya kwenda saloon mara kwa mara kubadili mitindo ya nywele coz akijifunika kichwa huwezi jua..hata vile vishawishi vya mashoga zake saloon ni rahisi kuviepuka
 
UPO SAHIHI KABISA KATIKA POINTS MBILI,

1) Kwanza ni Ukweli ulio wazi kuwa wanawake wa kiislamu wanavutia sana wanavyovaa kiheshima...dah na zaidi ukikuta kaumbika na wezere lipo.

Mfano yule dada wa Shear Illussion sio siri she complete me coz hela ipo...uzuri upo na bado hana dharau.

2) Waislamu wengi walioshika dini haswa huwa hawana Maringo na Dharau. Unaweza kukuta ameinvest vya kutosha ila anaishi very normal life...unamkuta mrembo ofisini anakusikiliza na kukuhudumia bila mapozi ya kiboya.

NB: Ifahamike tu kuwa UISLAM sio MAVAZI pekee, ni imani na maisha kwa ujumla wake.

Shukraan,
 
Back
Top Bottom