malisak
JF-Expert Member
- Mar 16, 2006
- 694
- 772
Nimemaanisha wakristo,hapo ni typing error tuMalisak, wakrosto ndo akina nani tena?? Au dini mpya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemaanisha wakristo,hapo ni typing error tuMalisak, wakrosto ndo akina nani tena?? Au dini mpya?
Hicho ni kiarabu tu na sio QuranWengine hatuna udhu tutashika maandiko hya.
kwahiyo mambo safitu ndio wanao pendeza, wengine dadazangu wa msata? huvutiwi??
No evidence No right to speakUle ni utamaduni wa kiarabu. Uislamu ndo umekopi utamaduni wa kiarabu na kuuendeleza.
So sifia waarabu walioanzisha na sio waislamu.
No evidence No right to speakUle ni utamaduni wa kiarabu. Uislamu ndo umekopi utamaduni wa kiarabu na kuuendeleza.
So sifia waarabu walioanzisha na sio waislamu.
Vazi la kiislamu sio Dera.mimi ni mvaaji mzuri wa kistaarabu kama madera bila kuyabana na mitandio ,baibui na napenda sana
ni mkristo pia
hayo ni mavazi tu ..yoyote anaweza kuvaa
Ule ni utamaduni wa kiarabu. Uislamu ndo umekopi utamaduni wa kiarabu na kuuendeleza.
So sifia waarabu walioanzisha na sio waislamu.
Hii picha inanifanya niishiwe nguvu kabisa, tena mpaka naona wivu.
Unaanza tena wewe nenda arabuni kama woote wanavaa vileUle ni utamaduni wa kiarabu. Uislamu ndo umekopi utamaduni wa kiarabu na kuuendeleza.
So sifia waarabu walioanzisha na sio waislamu.