Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
Tahadhari:
Umechelewa kuna waliokuwahi
Mmmh mbona kama na wewe umeshaanza kutoa povu mkuu, vipi hauna gari?😂😂😂Tahadhari:
Usije kulalamika sasa, Atakapoomba kuuzibua Huo mtaro ili apitishe gari yake
Kukwama kwenye TOPE Ni mateso sana kipindi hiki Cha mvua.
Sent using Jamii Forums mobile app