Sawani ndoto nzuri.... kila mtu aote ndoto zake
ukilipata usiwe mchoyo wa kutoa liftSawa
Wamesikia bossukilipata usiwe mchoyo wa kutoa lift
[emoji23][emoji23][emoji23] Risiti ya kulipia huduma nyapu labdaMakuuubwaa
Una risiti ya kuweka hapa tuone ulivyotembeza mbupu?!
Weka tuone
😅😅daah.Kwani wanaume mnatembeleaga makalio?!
Sikujua 🏃🏃🏃
😂😂😂🏃🏃🏃😅😅daah.
watasikia!Kama una penda mwanaume mwenye gari ni fikra za kitoto ziache sasa uanze kupenda kununua gari
Woyoooooooo 🔥
woyooooo, acha watoto wacheizeeeWanapenda wenye magari na kudanganywa pia, Gari gani hilo steering tu?!! wao hapo hawaoni??🤣 wanawake ni shida kweli !!!.
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Naona wenye mandinga wanatunishiana misuli.Sie wa TZ 11 hatuhitajiki hapa
Sent using Jamii Forums mobile app