Napenda kujua kwanini mume na mke wakiishi pamoja muda mrefu wanafanana?

Vinasaba vinaungana in nature na kusababisha watu kufanana.kisayansi huwezi kuipata ila ktk imani na mambo ya rohoni
Nimewaza kwa sauti
Ukishazungumzia vinasaba tayari ni sayansi. Sasa mwisho unasema huwezi kuipata kisayansi. Kipi ni kipi sasa?
 
watu hufanana kutoana na xababu za kiukanda, yani namansha utakuta ka mfano mume kutoa kusini, kama iringa, anamuoa mwanamke kutoa ukanda huohuo, kiuhalisia wa2 wa kand hizi hua na hali ya mfanano hii ni kutokana na historia ya migration. hivyo bac, xababu nyingine inatokana na muigo wa tabia kati ya mwanamke na mwanaume endapo mwanamka au mwanaume atakua na destrur ya kukacrikaacrika na kukunja ndita inapelekea wawili hao kuadopt hizo tabia na mwishowe kuonekana kama ato wanafanana..........
 
mama maria nyerere kuna picha nikiiangalia naona wanafanana kabisaaaa na Baba wa taifa
 
mtoa mada...hii hadithi niliiskia kwa mara ya kwanza uchagani...ila...hakuna ukweli.. Wowote... labda kama watafanana tabia.....
download (2).jpg
download (3).jpg
 
Kwa mfano ukimuangalia Mama Maria Nyerere na marehemu baba wa taifa mwalimu Nyerere copy right!
 
Duh this is how u describe your parents?!
kufanana si ni usoni ndugu,na hasa macho na pua na midomo!!?..ndo walivo hivo na bahati mbaya nimefata macho ya bi mkubwa,wifi zako wote hakuna ambae hajawi yatamani,wazae na mimi ati mtoto wa kike afate macho yangu
 
Mama yako ndio unamdharirisha kiasi hicho kwa kumuelezea kama unamuelezea hawara yako!
umeona kwa mama tu!!?..pana tofauti gani ya maelezo kwa baba na mama!?..usiendekeze mfumo jike,by the way..ndo walivo,ningekuelezeaje uelewe!?
 
Msosi mmoja, wakati mmoja,
Mazingira kama ya kulala ni ya pamoja,
Tuchukulie kwenye msosi mmoja mfano wanakula chakula cha aina moja na hufanya kazi mwilini kwa wakati mmoja
Kwa hiyo kama virutubisho vinashughulikia shavu, basi wote shavu linafanana,
Kama pua basi pua zinafanana
Kama sauti basi sauti zinafanana
Hivyo hivyo hata kwenye mazingira
Kama mmeishi kwenye baridi muda mwingi lazima mfanane jamani,
Mie nimeona mtaani kwetu kuna wazazi wawili watu wanawajadili wameoana mtu na dada yake
 
Back
Top Bottom