baba_la_kichaga
Senior Member
- May 15, 2017
- 127
- 54
Nimekuwa nifuatilia watu wanaishi kama mke na mme na mara nyingi ukiwaangalia wanafanana kama mtu na dada yake.Je nini inasababisha naomba kujuzwa
Mi nadhani ufanano uliopo hasa ni wa kitabia na matendo..Hata marafiki tu wakikaa kwa mda mrefu.
Hiyo ni sababu ya mambo mengi kufanya kwa pamoja na kuwanya uwezo wa kutatua jambo, tabia kuendanA, wakati mwingine hata behaviour nyingi kuanza kuwa sawa kutembea kufanana na kuona kama kufanana kwa kila kitu.
Kama hawa..?Nimekuwa nifuatilia watu wanaishi kama mke na mme na mara nyingi ukiwaangalia wanafanana kama mtu na dada yake.Je nini inasababisha naomba kujuzwa
Yap ndio maana unaweza ukawa na friend watu wakaanza kuhisi kama ni ndugu kumbe urafiki tuMi nadhani ufanano uliopo hasa ni wa kitabia na matendo..
Unajua watu wakifanana katika style ya kuongea tu utaona wamefanana sana tu
Kuna kitu kinaitwa kuathiriana kitabia,tabia ya mmoja inamuathiri mwingine hali hiyo ikizidi ndio hata kwa nje wanaanza kufanana source my grandmotherNimekuwa nifuatilia watu wanaishi kama mke na mme na mara nyingi ukiwaangalia wanafanana kama mtu na dada yake.Je nini inasababisha naomba kujuzwa
Daaaaa! Mambo mengine ya kuombea yasitokeeKwahy wataka kuniambia hamorapa atakuja kufanana na mkewe
Kweli wanafanana mbayaKama hawa..?View attachment 515404