Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,736
- 7,536
Angalia Tena uzi huu kwa Mara ya Kwanza (post ya Kwanza/mwanzisha uzi ) alifanya ikiwa ni mwaka 2017 possible kwamba ilikua ni October
Niliona kila kitu isipokuwa nilitaka kuwaonyesha na wengine humu jukwaani hii coincidence, a rare coincidence! Nafurahi kuwa angalau kuna watu wameona. Najua wapo pia ambao hawataona pamoja na kuwa watapita kwenye uzi huu! Mbarikiwe na BwanaYaah na kweli ilikua 12 October 2017