Napenda kujua kuhusu Friday October 13

Napenda kujua kuhusu Friday October 13

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
45,470
Reaction score
95,999
Kama kichwa cha HABARI kinavyosema kesho ni Friday October 13, niliwahi kusikia kuhusiana na hii siku wanasema ni siku ya kichawi au ya kimaajabu

sasa basi napenda kujua kuhusiana na hizo habari na hii siku ,wale wajuzi wa mambo karibuni
anko angu Eiyer mshana jr Mkuu wa chuo juvenile davis na wengineo karibuni hapa mtupe kidogo mkijuacho kuhusiana na hii siku ambayo kesho itakua ndio siku ya FRIDAY OCTOBER 13
 
logo.png
 
nimezaliwa hiyo siku mda ni saa sita na nusu mchana....neema naziona alhamdulillah
 
Ni siku inayohusishwa sana na imani ya kishirikina, inasemekana matukio mengi ya balaa na mikosi hutokea hyo siku ya 13 Friday . Jamii ya watu flani wenye imani za kishirikina huwa wanavaa nguo nyeusi full siku hyo ya ijumaa kama ishara ya kuzuia nuksi na balaa ndani ya hyo siku

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa ujumla tarehe 13 ya mwezi wowote ule sio siku nzuri kwa wenye imani fulani, na hata wakokodisha jengo refu floor ya 13 itaandikwa 14. Pia wanasema siti na 13 kwenye baadhi ya ndege hua haiwekwi(sins uhakika) ila kwenye majengo marefu na uhakika.
 
Kwani mkuu?
 
Kama kichwa cha HABARI kinavyosema kesho ni Friday October 13, niliwahi kusikia kuhusiana na hii siku wanasema ni siku ya kichawi au ya kimaajabu

sasa basi napenda kujua kuhusiana na hizo habari na hii siku ,wale wajuzi wa mambo karibuni
anko angu Eiyer mshana jr Mkuu wa chuo juvenile davis na wengineo karibuni hapa mtupe kidogo mkijuacho kuhusiana na hii siku ambayo kesho itakua ndio siku ya FRIDAY OCTOBER 13
Hapana, kesho siyo Friday 13 Oktoba. Kesho ni Friday 13 Septemba
 
Angalia Tena uzi huu kwa Mara ya Kwanza (post ya Kwanza/mwanzisha uzi ) alifanya ikiwa ni mwaka 2017 possible kwamba ilikua ni October
 
Yaah na kweli ilikua 12 October 2017
 
Back
Top Bottom