Je unajua umuhimu wa kuprint logo kwenye mwamvuli?

munah12

New Member
Feb 9, 2018
2
0
Je unajua umuhimu wa mwamvuli kwenye kutangaza brand yako? Kuongezeka kwa utambuzi wa brand ni mojawapo ya manufaa ya msingi ya kutumia miavuli ya utangazaji kwa kampuni yako. Bidhaa hizi za matangazo inavutia attention kwa watu. BRAND au ujumbe wako utawafikia watu wengi zaidi kwa usaidizi wa miavuli ya utangazaji mana watu watatamani kujua kumeandikwa nini kwenye mwamvuli. faida ya mwamvuli kwenye ku brand biashara yako au kampuni yako.1 : Tengeneza mwavuli unaozungumza maneno kuhusu kampuni yako kwa kubinafsisha mpango wako wa rangi, muundo na mtindo. Hii itakuza brand colour yako kwenye macho ya watu.

2: Kuongezeka kwa Mwonekano wa Biashara Kuongezeka kwa utambuzi wa brand ni mojawapo ya manufaa ya msingi ya kutumia miavuli ya utangazaji kwa kampuni yako.

3: Inabebeka: kwa msimu wowote ule wa jua au mvua unaweza kubeba na kutoka nao sehemu yeyote ile kiurahisi na kuifanya kuwa zana bora kwa matukio ya matangazo yako

4: Utangazaji wa mwamvuli ni Gharama nafuu Ufanisi ni mojawapo ya faida kuu za kutumia miavuli ya matangazo. Munah design & printing tunakusaida kuweka logo yako au maneno uyapendayo kwenye mwamvuli wako, mwamvuli unaweza kumpa mtu kama zawadi na ukaandika ujumbe uupendao kwa mhusika unae mpatia.

IMG_7789.jpg
 

Attachments

  • IMG_7790.jpg
    IMG_7790.jpg
    114.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom