donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,522
Salam wakuu,
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa kipindi cha hawavumi lakini wamo cha itv. Huwa naenjoy kuangalia vipaji mbalimbali chipukizi, pia huwa naenjoy sana uchambuzi wa huyu bwana.
Anaonekana ana utaalam wa muziki hivyo ningependa kufahamu wasifu wake katika tasnia ya muziki au kama alishawahi kuwa mwanamuziki wa bendi fulani.