Tutorial 1X
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,908
- 2,036
hayo mazingira kama ya Europe vile
Mkuu mbona hawa masikio yao ni vidoncho sana kuliko zile picha alizotuma mtoa Uzi, yani masikio yao sio ya mkono wa sweta vipi ndo sampuli hiyo hiyo auBaadhi ya picha nilizopiga 8-8 japo hazikutoka vizuri. Kimuonekano ni wakubwa zaidi ya uwaonavyo kwenye picha
View attachment 935354View attachment 935355View attachment 935356
Tena ni zaidi ya kilo 150Huwez pata 150 apo
Nimeattach picha moja hapo ina mawasiliano nyingine zilifutika. Ukipata muda nenda meru, siha, karatu wapo mpk vijijini ila wengi ni uzito wa 70-100kg asili yao ni Switzerland. Au ulizia makanisa ya kkkt kaskazini (wenye project) watakulink na wafugaji .Nimekuelewa sana, ila kuna mtu alikuwa anawatangaza kitambo kuwa anao na anauza, lakini alikuwa tapeli tu
Hawa mbuzi wanaitwa Boer means farmer
Na walipandikizwa miaka ya nyuma huko South Africa na sasa wanapatikana duniani kote hata Pakistan mpaka India na USA wapo.
Ni mbuzi wakubwa haswa na ni kwa ajili ya nyama.
Nilitamani kupata mbegu hiyo lakini nikagonga mwamba.
Tuwekee mawasiliano yao
Shukran sanaNimeattach picha moja hapo ina mawasiliano nyingine zilifutika. Ukipata muda nenda meru, siha, karatu wapo mpk vijijini ila wengi ni uzito wa 70-100kg asili yao ni Switzerland. Au ulizia makanisa ya kkkt kaskazini (wenye project) watakulink na wafugaji .
hudhuria maonesho ya 8-8 Arusha mwakani utawakuta kwa wingi na utanunua hapo hapo kwa bei tajwa.
Ufugaji wake ni wa ndani wanakatiwa nyasi hawatoki nje
Ndio walishazaliana na sasa wanauzwa bei ni 150,000 kwa mtoto na wakubwa ni kuanzia 450,000. Wapo sana siha, mwanga, karatu. Wanazaa mapacha (guaranteed). Nitakutumia mawasiliano ya washiriki /wafugaji
Ingependeza zaidi kama ugeweka mawasiliano hapa ili wote tufaidi.Ndio walishazaliana na sasa wanauzwa bei ni 150,000 kwa mtoto na wakubwa ni kuanzia 450,000. Wapo sana siha, mwanga, karatu. Wanazaa mapacha (guaranteed). Nitakutumia mawasiliano ya washiriki /wafugaji
hawa ulio waweka ni tofauti napicha alizoweka mleta uzi.Baadhi ya picha nilizopiga 8-8 japo hazikutoka vizuri. Kimuonekano ni wakubwa zaidi ya uwaonavyo kwenye picha
View attachment 935354View attachment 935355View attachment 935356
Ukweli ni kwamba hawa mbuzi hapa hawapatikani. na kama utawapata watakuwa wamechakachuliwa ; watakuwa si pure bread.Nimekuelewa sana, ila kuna mtu alikuwa anawatangaza kitambo kuwa anao na anauza, lakini alikuwa tapeli tu
Hawa mbuzi wanaitwa Boer means farmer
Na walipandikizwa miaka ya nyuma huko South Africa na sasa wanapatikana duniani kote hata Pakistan mpaka India na USA wapo.
Ni mbuzi wakubwa haswa na ni kwa ajili ya nyama.
Nilitamani kupata mbegu hiyo lakini nikagonga mwamba.
Tuwekee mawasiliano yao
Vipi kwa South AfricaUkweli ni kwamba hawa mbuzi hapa hawapatikani. na kama utawapata watakuwa wamechakachuliwa ; watakuwa si pure bread.
Nilifatilia sna hadi chuo cha kilimo na mifugo lakini sikuweza kuwapata.
Aina ya mbuzi hawa wengi kwa sasa wanapatikana nchini Uganda lakini ukibahatika utapata 70% ya breed ya aina hiyo au 50% maana pia nao wamechakachuliwa.
Mkuu South Africa ndo nyumbqni kwa Boer na Kalahari red goats. Kwa hiyo huko ngo wapi na uzuri wake kuna wafigaji ambao wamesajiliwa kukupatia pure breeds.Vipi kwa South Africa
Maana ukiwasoma huko ndio walikoanzishwa na kusambazwa duniani
Hata mimi nilitamani kuwafuga
Asante kwa hilo
Ubarikiwe sanaMkuu South Africa ndo nyumbqni kwa Boer na Kalahari red goats. Kwa hiyo huko ngo wapi na uzuri wake kuna wafigaji ambao wamesajiliwa kukupatia pure breeds.
Unaweza tu ku google boer goat breeders in South Africa,utapata maelezo ya wafugaji.
Inawezkana kuwa wapo,ila cha muhimu kujiulza ni je washachakachuliwa au vipi ? Maana Tanzania sidhani kama tuna sajili pure breed ya wanyama.Ubarikiwe sana
Nimewaona
Hivi hakuna aliewaleta na Tz?
kuna jamaa angu dr wa mifugo ni wakala wa hizo products yuko tabataUbarikiwe sana
Nimewaona
Hivi hakuna aliewaleta na Tz?
Kwa hiyo wapo pure breedkuna jamaa angu dr wa mifugo ni wakala wa hizo products yuko tabata
Shida iko kwenye kuwaleta. nilijaribu kuwasiliana na baadhi ya wauzaji wa huko lakini nilipatwa na mashaka na response zao.Ubarikiwe sana
Nimewaona
Hivi hakuna aliewaleta na Tz?