Napenda kudownload movie kwenye simu lakini dah!help me

dazipozi

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
1,137
106
Najua hapa kuna watu wanafahamu website za Movie napenda mnisaidie na mimi ni watch aina ya simu nayotumia ni LG KP500,Naomba mnisaidie kwa hili wakubwa,Ansante
 
Najua hapa kuna watu wanafahamu website za Movie napenda mnisaidie na mimi ni watch aina ya simu nayotumia ni LG KP500,Naomba mnisaidie kwa hili wakubwa,Ansante

we mvivu kusearch kuna mdau alshapost kutusaidia cc hyo swali yko...
 
Adownloader ndio moto kwa kudownload movie, series na music kwenye simu au tablet za android.
 
website ya movie za simu nzuri ni moja tu duniani hao walobakia wana grabber script, kaka mwenye lg simu yako haina 3g utatumis si chini ya masaa ma 5 kama unatoka mikoan na masaa zaid ya matatu kama upo dar na kama unavojua simu yako haiminimise so itakua so simu maana utakua hupigi we wapokea tu simu na ukipigiwa simu network isiyo ya 3g inakata.

Kama bado unataka movie try hizi website

movie za simu

Au

movie za siimmu
 
Najua hapa kuna watu wanafahamu website za Movie napenda mnisaidie na mimi ni watch aina ya simu nayotumia ni LG KP500,Naomba mnisaidie kwa hili wakubwa,Ansante
Mkuu kwanza pole simu yako haina 3g which means downloading speed yako itakuwa chini sana kwa net zetu za kibongo, inamaana utatumia masaa mengi sana kudownload movie moja kwa 2g kulingana na simu yako
Zingatia ushauri na link za chief mkwawa, na kwa kuongezea kuna hii site pia ni nzuri kwa watu wa simu Hollywood Mobile Movies
Muhimu ni simu za 3g tu ndio angalau unaweza ku enjoy kudounload mafaili makubwa kama movies nk, lakini 2g kwa maana ya edge na gprs ni full kimeo
 
Back
Top Bottom