Nape: Wanaonichukia mawakala wa mafisadi. Awaa somo ukawa Studio za Bunge, Bajeti yapeta

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
13240037_1103235579740899_2319808332966018201_n.jpg

Nakubaliana na Nape katika hili,Mafisadi walianza kumchukia nape kitambo sana tangu enzi zile UVCCM, alipowaumbua kuhusu mkataba wa kifisadi wa jengo la UVCCCM
 
Yawezekana nikawa mgeni nisiyejuwa lolote kuhusu siasa za Taifa hili,hebu nikuulize wewe "Singidadodoma", serikali ya ccm inaposema inapambana na ufisadi huwa inamaanisha nini? Taifa hili halijawahi kuongozwa na serikali nyingine tofauti na serikali ya ccm,vitendo vya kifisadi ambavyo serikali inavipigia kelele ni matokeo ya kuporomoka kwa maadili ya uongozi ndani ya chama na serikali,sasa mapambano hayo ya ufisadi iliouasisi yenyewe ni mapambano juu ya nani?

Ukifuatilia kwa makini utendaji wa viongozi wetu serikalini,hakuna hata mmoja awezaye kusimama na kusema yeye ni msafi.Kila aliyeko serikalini ana kashfa yake ya ufisadi,sasa mnaposema mnapambana na ufisadi,ni ufisadi upi mnaopambana nao ikiwa wapambanaji wa ufisadi ndiyo mafisadi wenyewe?

Ukifuatilia kashfa zote za kifisadi,hakuna kashfa hata moja isiyo na uhusiano na vigogo wa chama na serikali,mfano:LUGUMI-wanaohusishwa na Lugumi ni familia na wakwe wa viongozi waliokuwa na dhamana ndani ya serikali.Infosy ina uhusiano na waziri mwandamizi wa serikali ya #HapaKaziTu,Mgao wa Escrow ulienda hadi ikulu ya kikwete na kupokelewa na mnikulu wake ndugu Gulumo,Sakata la UDA linahusishwa na familia ya mstaafu wa ikulu,Chenji ya Rada ilipigwa na vigogo wa serikali chini ya usimamizi wa joka la makengeza,Richmond ni dili la vigogo wa serikali ambao Mwakyembe alisema akiwataja serikali yate ingesambaratika,uuzwaji wa nyumba,vivuko vibovu,samaki wa ----,upotevu wa mabilioni katika wizara ya ujenzi yanamgusa "Ngariba wetu wa majipu", ANBEN ni kampuni ya Rais wa awamu ya tatu aliyejimilikisha mgodi kinyume na sheria za nchi,Deepgreen inahusishwa na ccm,Hela za EPA zinahusishwa na Mtandao uliomuingiza kikwete madarakani,Utoroshwaji wa makontena ni dili la vigogo wa serikali,flowmeter ilizimwa kwa agizo la waziri na ikawashwa kwa agizo la waziri kupitia SMS,Mabehewa feki ni kashfa inayomuhusu waziri mwandamizi wa serikali ya #HapaKaziTu,Ndege ya Rais ambayo tuliambiwa ni bora tule nyasi lakini rais anunuliwe ndege,hela zilipigwa na ndege hatujuwi ilipo.Kwa mifano hiyo michache,hebu niambie wanaosema wanapamvana na ufisadi huwa wanapambana na nani ikiwa ufisadi ni kazi ya mikono yao wenyewe?

Kelele za mapambano dhidi ya ufisadi zingekuwa na maana kwetu kama Taifa letu lingekuwa limepitia chini ya utawala wa serikali ya vyama tofauti,lakini tangu Uhuru nchi yetu inaongozwa na serikali ya ccm,hivyo mafisadi ni kina nani kama si ccm yenyewe? Ni nani aliyefuta AZIMIO la Arusha na kuleta AZIMIO la Zanzibar ya Jecha S Jecha?

Bila kumumunya maneno,mkwamo wa Taifa letu ni matokeo ya mkwamo wa maadili ya uongozi ndani ya ccm na serikali zake,wanaojinasibu kupambana na ufisadi wakati ufisadi wanaopambana nao umechorwa kwenye viganja vya mikono yao,hawana jina jingine linalofaa kuwaelezea zaidi ya kuwaita wasanii.

Kutuaminisha kuwa serikali ya chama kilichouasisi ufisadi kwa kuua miiko ya uongozi kuwa sasa kinapambana na ufisadi kilioujenga kwa mikono yake ni usanii ulio chini ya viwango vya BASATA na ambao unapaswa kufungiwa kama zilivyofungiwa baadhi ya kazi za wasanii wengine.

Nimeamini ili uishabikie ccm yakupasa kwanza "ufe kiakili" na uzaliwe upya na kuwa msukule wa Lumumba,ndipo utakuwa na ujasiri wa kujitoa ufahamu kwa kushabikia ccm kwa ujira wa buku 7 na kapu la viwavijeshi.Ni mapoyoyo ya Lumumba pekee yasiyojifahamu ndiyo yanayoweza kushabikia tungo hii iliyo chini ya viwango vya BASATA,tungo ya utumbuaji wa majipu iliyotungwa na "Ngariba wa majipu a.k.a Ngosha the Don"

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
Mkiwa wote ni wachafu hamuogi na mnaishi pamoja Katika hali ya kawaida tu Haiwezekani akatokea mmoja wenu akawaambia Uchafu Umekithiri Tukaoge na Tusafishe mazingira yetu na Maeneo tunayoishi.Hili litawezakana JITAFAKARI.Japo kuwa wote ni wachafu basi pasitokee mmoja kuwatetea wale ambao hawataki kuoga na kusafisha maeneo yao.Kwani ufundo na Harufu mbaya utaendelea kutamalaki.Na kama jamii haitakuwa na Afya.
 
Labda anakimbizana na kivuli chake. Kama anajua wanaomchukia ni mawakala wa ufisadi, why would he care? Na si kweli kwamba hakuna watu wanaompenda. Wana CCM wanampenda sana tu.
 
Yawezekana nikawa mgeni nisiyejuwa lolote kuhusu siasa za Taifa hili,hebu nikuulize wewe "Singidadodoma", serikali ya ccm inaposema inapambana na ufisadi huwa inamaanisha nini? Taifa hili halijawahi kuongozwa na serikali nyingine tofauti na serikali ya ccm,vitendo vya kifisadi ambavyo serikali inavipigia kelele ni matokeo ya kuporomoka kwa maadili ya uongozi ndani ya chama na serikali,sasa mapambano hayo ya ufisadi iliouasisi yenyewe ni mapambano juu ya nani?

Ukifuatilia kwa makini utendaji wa viongozi wetu serikalini,hakuna hata mmoja awezaye kusimama na kusema yeye ni msafi.Kila aliyeko serikalini ana kashfa yake ya ufisadi,sasa mnaposema mnapambana na ufisadi,ni ufisadi upi mnaopambana nao ikiwa wapambanaji wa ufisadi ndiyo mafisadi wenyewe?

Ukifuatilia kashfa zote za kifisadi,hakuna kashfa hata moja isiyo na uhusiano na vigogo wa chama na serikali,mfano:LUGUMI-wanaohusishwa na Lugumi ni familia na wakwe wa viongozi waliokuwa na dhamana ndani ya serikali.Infosy ina uhusiano na waziri mwandamizi wa serikali ya #HapaKaziTu,Mgao wa Escrow ulienda hadi ikulu ya kikwete na kupokelewa na mnikulu wake ndugu Gulumo,Sakata la UDA linahusishwa na familia ya mstaafu wa ikulu,Chenji ya Rada ilipigwa na vigogo wa serikali chini ya usimamizi wa joka la makengeza,Richmond ni dili la vigogo wa serikali ambao Mwakyembe alisema akiwataja serikali yate ingesambaratika,uuzwaji wa nyumba,vivuko vibovu,samaki wa ----,upotevu wa mabilioni katika wizara ya ujenzi yanamgusa "Ngariba wetu wa majipu", ANBEN ni kampuni ya Rais wa awamu ya tatu aliyejimilikisha mgodi kinyume na sheria za nchi,Deepgreen inahusishwa na ccm,Hela za EPA zinahusishwa na Mtandao uliomuingiza kikwete madarakani,Utoroshwaji wa makontena ni dili la vigogo wa serikali,flowmeter ilizimwa kwa agizo la waziri na ikawashwa kwa agizo la waziri kupitia SMS,Mabehewa feki ni kashfa inayomuhusu waziri mwandamizi wa serikali ya #HapaKaziTu,Ndege ya Rais ambayo tuliambiwa ni bora tule nyasi lakini rais anunuliwe ndege,hela zilipigwa na ndege hatujuwi ilipo.Kwa mifano hiyo michache,hebu niambie wanaosema wanapamvana na ufisadi huwa wanapambana na nani ikiwa ufisadi ni kazi ya mikono yao wenyewe?

Kelele za mapambano dhidi ya ufisadi zingekuwa na maana kwetu kama Taifa letu lingekuwa limepitia chini ya utawala wa serikali ya vyama tofauti,lakini tangu Uhuru nchi yetu inaongozwa na serikali ya ccm,hivyo mafisadi ni kina nani kama si ccm yenyewe? Ni nani aliyefuta AZIMIO la Arusha na kuleta AZIMIO la Zanzibar ya Jecha S Jecha?

Bila kumumunya maneno,mkwamo wa Taifa letu ni matokeo ya mkwamo wa maadili ya uongozi ndani ya ccm na serikali zake,wanaojinasibu kupambana na ufisadi wakati ufisadi wanaopambana nao umechorwa kwenye viganja vya mikono yao,hawana jina jingine linalofaa kuwaelezea zaidi ya kuwaita wasanii.

Kutuaminisha kuwa serikali ya chama kilichouasisi ufisadi kwa kuua miiko ya uongozi kuwa sasa kinapambana na ufisadi kilioujenga kwa mikono yake ni usanii ulio chini ya viwango vya BASATA na ambao unapaswa kufungiwa kama zilivyofungiwa baadhi ya kazi za wasanii wengine.

Nimeamini ili uishabikie ccm yakupasa kwanza "ufe kiakili" na uzaliwe upya na kuwa msukule wa Lumumba,ndipo utakuwa na ujasiri wa kujitoa ufahamu kwa kushabikia ccm kwa ujira wa buku 7 na kapu la viwavijeshi.Ni mapoyoyo ya Lumumba pekee yasiyojifahamu ndiyo yanayoweza kushabikia tungo hii iliyo chini ya viwango vya BASATA,tungo ya utumbuaji wa majipu iliyotungwa na "Ngariba wa majipu a.k.a Ngosha the Don"

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Umedadavua vizuri tatizo hapo ulipoingiza vyama. Tanzania kupata mabadiliko tunataka vijana wapya siyo watu waliolelewa na ccm kuitwa makada kama kina Nape Lowasa kikwete hata magufuli na sumaye. Kimya kitatoka wapi kama tunashangilia walioshindwa ccm wakija upinzani?
 
Halafu alihojiwa na TAKUKURU huyo kwa kutoa mlungula ila anadhani watanzania wote wanajisahau.Tuhumatu ya rushwa ni doa kubwasana kwa mwanasiasa na sidhani kama alisafishwa
 
Yawezekana nikawa mgeni nisiyejuwa lolote kuhusu siasa za Taifa hili,hebu nikuulize wewe "Singidadodoma", serikali ya ccm inaposema inapambana na ufisadi huwa inamaanisha nini? Taifa hili halijawahi kuongozwa na serikali nyingine tofauti na serikali ya ccm,vitendo vya kifisadi ambavyo serikali inavipigia kelele ni matokeo ya kuporomoka kwa maadili ya uongozi ndani ya chama na serikali,sasa mapambano hayo ya ufisadi iliouasisi yenyewe ni mapambano juu ya nani?

Ukifuatilia kwa makini utendaji wa viongozi wetu serikalini,hakuna hata mmoja awezaye kusimama na kusema yeye ni msafi.Kila aliyeko serikalini ana kashfa yake ya ufisadi,sasa mnaposema mnapambana na ufisadi,ni ufisadi upi mnaopambana nao ikiwa wapambanaji wa ufisadi ndiyo mafisadi wenyewe?

Ukifuatilia kashfa zote za kifisadi,hakuna kashfa hata moja isiyo na uhusiano na vigogo wa chama na serikali,mfano:LUGUMI-wanaohusishwa na Lugumi ni familia na wakwe wa viongozi waliokuwa na dhamana ndani ya serikali.Infosy ina uhusiano na waziri mwandamizi wa serikali ya #HapaKaziTu,Mgao wa Escrow ulienda hadi ikulu ya kikwete na kupokelewa na mnikulu wake ndugu Gulumo,Sakata la UDA linahusishwa na familia ya mstaafu wa ikulu,Chenji ya Rada ilipigwa na vigogo wa serikali chini ya usimamizi wa joka la makengeza,Richmond ni dili la vigogo wa serikali ambao Mwakyembe alisema akiwataja serikali yate ingesambaratika,uuzwaji wa nyumba,vivuko vibovu,samaki wa ----,upotevu wa mabilioni katika wizara ya ujenzi yanamgusa "Ngariba wetu wa majipu", ANBEN ni kampuni ya Rais wa awamu ya tatu aliyejimilikisha mgodi kinyume na sheria za nchi,Deepgreen inahusishwa na ccm,Hela za EPA zinahusishwa na Mtandao uliomuingiza kikwete madarakani,Utoroshwaji wa makontena ni dili la vigogo wa serikali,flowmeter ilizimwa kwa agizo la waziri na ikawashwa kwa agizo la waziri kupitia SMS,Mabehewa feki ni kashfa inayomuhusu waziri mwandamizi wa serikali ya #HapaKaziTu,Ndege ya Rais ambayo tuliambiwa ni bora tule nyasi lakini rais anunuliwe ndege,hela zilipigwa na ndege hatujuwi ilipo.Kwa mifano hiyo michache,hebu niambie wanaosema wanapamvana na ufisadi huwa wanapambana na nani ikiwa ufisadi ni kazi ya mikono yao wenyewe?

Kelele za mapambano dhidi ya ufisadi zingekuwa na maana kwetu kama Taifa letu lingekuwa limepitia chini ya utawala wa serikali ya vyama tofauti,lakini tangu Uhuru nchi yetu inaongozwa na serikali ya ccm,hivyo mafisadi ni kina nani kama si ccm yenyewe? Ni nani aliyefuta AZIMIO la Arusha na kuleta AZIMIO la Zanzibar ya Jecha S Jecha?

Bila kumumunya maneno,mkwamo wa Taifa letu ni matokeo ya mkwamo wa maadili ya uongozi ndani ya ccm na serikali zake,wanaojinasibu kupambana na ufisadi wakati ufisadi wanaopambana nao umechorwa kwenye viganja vya mikono yao,hawana jina jingine linalofaa kuwaelezea zaidi ya kuwaita wasanii.

Kutuaminisha kuwa serikali ya chama kilichouasisi ufisadi kwa kuua miiko ya uongozi kuwa sasa kinapambana na ufisadi kilioujenga kwa mikono yake ni usanii ulio chini ya viwango vya BASATA na ambao unapaswa kufungiwa kama zilivyofungiwa baadhi ya kazi za wasanii wengine.

Nimeamini ili uishabikie ccm yakupasa kwanza "ufe kiakili" na uzaliwe upya na kuwa msukule wa Lumumba,ndipo utakuwa na ujasiri wa kujitoa ufahamu kwa kushabikia ccm kwa ujira wa buku 7 na kapu la viwavijeshi.Ni mapoyoyo ya Lumumba pekee yasiyojifahamu ndiyo yanayoweza kushabikia tungo hii iliyo chini ya viwango vya BASATA,tungo ya utumbuaji wa majipu iliyotungwa na "Ngariba wa majipu a.k.a Ngosha the Don"

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
mkuu,.......yaani kwa hii comment yako,......
umeandika yangu ya moyoni kabisa..
kuna baadhi ya watu wapuuz kabisa,hawaelewi chochote,na hawaitakii nchi mema.
MUNGU ibariki tanzania
 
Back
Top Bottom