Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Wana body kuna kitu imenishangaza..ghafla Nape kazimika na katokomea kabisa ktk vyombo vya habari na zile fujo za kushambulia CHADEMA huku akiwa na dharau kibao zimeyeyuka.
Vipi kajikuta kuwa yupo ktk hatari ya kisiasa na wakati wengine wapo mbali kabisa.
Aisee Nape umegundua nini aisee?
Vipi kajikuta kuwa yupo ktk hatari ya kisiasa na wakati wengine wapo mbali kabisa.
Aisee Nape umegundua nini aisee?