Kazidiwa umaarufu na Mwigulu..Amenyoosha mikono juu..
Nape ni mstaarabu sana huwez kumfananisha na muuaji mwigulu, na ana hofu ya mung pamoja na kufanya siasa! mi namshauri kuliko kukaa ndani ya kundi la mafisadi na wauaji nape jiuzuli tutakuheshim sana Nape tunajua ni mpenda haki lkn siamin kama unaweza kutekeleza wajibu ukiwa ccm.