Mkuu hapa umesema ukweli mtupu..Msema Hovyo, jinsi mimi nilivyomwelewa tangu juzi sio kwamba anamtetea Lowassa ila anataka umma tuelewe kilicho nyuma ya pazia kuhusu matabaka makuu matatu ndani ya CCM..kuna ccm kama chama ambacho lowassa yupo ndani yake(lowassa, January makamba, Chenge, Pindi chana, Rostam Aziz, Milinya na wengine) hawa wanajita wana mtandao, kuna CCM ya JK(familia yake hapa mtakumbuka enzi ya kampeni 2010..Riz1, 1st lady wote walikuwa bize kumnadi JK) pia kuna wapambe wake kibao tu..pia kuna hii ccm a.k.a CCJ ambayo jana ilifanya maandamano yake Mbeya..sasa haya makundi yana malengo yao na yananyukana kwelikweli mpaka matokeo yake kuna baadhi washajiuzulu, wengine wametemwa kwa visingizio vya kujivua GAMBA