Nape, tuambie ufisadi wa Lowassa

Nape, tuambie ufisadi wa Lowassa

nape kisasi ndicho kinacho mwendesha,lakini ukweli utabaki pale pale kuwa lowasa hatajivua gamba kwani hakuna ushahidi wa moja kwa moja
 
Kama Msema hovyo si Lowassa mwenyewe au mwanae basi ni nepi yake. Tunajua kuna waandishi wengi wanalipwa na Lowassa kumsafisha ingawa wanajua hasafishiki hata kwa jik. Endeleeni kumtumikia huyo bwana na muungu wenu. Hatakasiki. Siku akitakasika basi na nguruwe atanukia marashi. Tusipoteze muda kutaka kufufua vilivyokwisha kufariki ndugu zanguni. Hata hivyo, kama Lowassa na wapambe wake wakisoma maoni yenu wanawakatia mshiko basi endeleeni na kutwanga maji mkitegemea kupata unga.
Mpayukaji, mbona story nyingi sana ndugu yangu? Wewe kalete ushahidi tumalize kesi. Hizi story zako hizi tulizisikia pia wakati ule Kikwete anatafuta Urais, kila mtu akaonekana mbaya isipokuwa yeye. Leo yeye ndo mbaya kumshinda mwingine yeyote. Hatutaki kufanya makosa kama tuliyofanya 2005, leteni ushahidi ili tukifanya maamuzi, tuwe na uhakika nayo.
 
Katika kuchunguza kwangu uhalisia wa mambo nimegundua kwamba Lowassa anasakamwa kutokana na kuonekana kuwa ni mtendaji mzuri kumshinda Kikwete, jambo ambalo lilikuwa linahatarisha reputation ya Kikwete kama Rais.

Nape naye kwa kutokuelewa akakakurupuka tu na kuanza kumtaja Lowassa kama fisadi. Lakini mimi leo nataka mwenye data za ufisadi wa Lowassa na aseme hapa. Lowassa amefisadi nini? Watu mnapayuka tu Richmond, richmond, lakini hakuna anayesema Lowassa alipata bei gani kutoka kwenye ile Kampuni. Wote tunajua kwamba Rostam alipata bilioni 40 za kagoda kupitia kagoda, pia tunajua ndiye aliyekuwa mmiliki wa Richmond ambayo baadaye ilibadilishwa na kuwa dowans. Pia tunajua kwamba Chenge alituibia hela ya rada.

Sasa Lowassa ameiba nini kilicho dhahiri? Ninachoamini mimi Lowassa aliponzwa na utendaji wake, wa kutaka kupush mambo yaende. Hakuwa legelege kama Pinda ambaye anang'aa tu macho huku watanzania wakiteseka kutokana na ukosefu wa umeme. Lakini katika harakati za kuhakikisha watanzania wanapata umeme ontime Lowassa alijikuta analazimika kumpush Msabaha aharakishe utoaji wa tenda kwenye kampuni iliyopitishwa na kamati, bahati mbaya kampuni iliyopitishwa ikawa fake.

Lowassa hakuwa kwenye kamati ya kupitisha mzabuni wa kuleta mitambo ya umeme, na wala hakuna mahali panapoonyesha kwamba Lowassa alimwambia Msabaha lazima apitishe richmond badala ya makampuni mengine. Tuna ushahidi wa kimazingira juu ya ufisadi wa Chenge (vijisent), na ule wa Rostam ambaye alijitambulisha kuwa msimamizi wa Dowans. Sasa Lowassa ufisadi wake upo wapi?

Ninaamini kwamba Lowassa anaandamwa kutokana na utendaji wake, ati ni tishio kwa uongozi wa Kikwete, pia na fitina za Nape dhidi yake.

Mkuu imani inaweza kuhamisha milima. Lowassa amekuwa waziri kwa muda mrefu, unaweza ku-prove ni utendaji gani ulioonekana katika wizara zote alizokuwa waziri? Amekuwa PM kwa kipindi kifupi, ninaweza kuorodhesha udhaifu wote aliouonesha kwenye u-PM, sasa ni kipi unachoweza kutaja kuwa ni utendaji mzuri wa Lowassa?

Naona umekuwa muwazi kwa kusema ameiba nini kilichodhahiri, hii ina maana nzuri sana.
 
Kila mtu mahali alipowahi kushika alifanya mazuri na mabaya nimeangalia profile ya Lowassa hapa, Edward Lowassa - Wikipedia, the free encyclopedia. Nimeona kwamba ni waziri tangu mwaka 1990. Lakin sijaona ni wizara gani ambayo alivurunda? Na kwenye UPM bado sioni ni mahali gani alipovurunda, zaidi ya hiyo attitude yake ya kutumia nguvu kupeleka mambo iliyosababisha aingie mkenge wa Richmond. Lakini pia ukitaka kuorodhsha udhaifu wa Lowassa, ni vema ukaorodhesha na ule wa Pinda. Zaidi ya yote, haya yote hayatoshi kuprove kwamba Lowassa ni fisadi. Mshahara wa uwaziri unatosha sana kwa mtu mwenye akili kubuni miradi mbalimbali ya kumuongezea kipato na hata kuwa tajiri mkubwa. Ina maana sheria ya nchi inawataka viongozi wakipata mshahara wapeleke bar? Maana wakifanya ya maana tu wanakuwa mafisadi.
 
Kwa hiyo?
Haya ni mashindano ya ubishi au?
Tena nimekumbuka, kuna thread ya watu wabishi zaidi hapa JF. Orodhesha majina ya hii mijamaa yote inayonibishia peleka kule kwenye thread ya watu wabishi sana.
 
unachekesha boy.. unachojaribu kufanya hapa ni kama vile umeenda mirembe dodoma then ukawapa wale wagonjwa wa akili mtihani.. lazima kutakuwa na wa kwanza na mwingine wa mwisho . but in generally wote ni wagonjwa wa akili
Saint Ivuga jibu usikwepe hoja, hata mimi naanza kuona kama Msema Hovyo ana hoja kosa la Lowassa ni lipi kama ni Richmond mbona hadi leo hii ipo kwa majina tofauti kwanini isitaifishwe kama ilikuwa ni fake, wel tunaweza kusema RA na Kagoda, Chenge na Rada ziko wazi lakini hata hizo nina mashaka kwa vile serikali bado inawakingia kifua then makosa yao hasa ni yepi na kwa nini wawe watatu tu hii inanipa picha kuna kuoneana hapa au kuna kitu ambacho hatukijui wamedhulumiana kwenye mtandao wao am thinking aloud.
 
You said it mkuu. Kinachoimaliza CCM sasa hivi ni makundi na makundi hayo aliyatengeneza JK mwenyewe na sasa yanamsumbua. Lakini pia ni ukweli uli dhahiri kwamba Lowassa ni threat kubwa kwa JK, kutokana na uwezo mkubwa alionao katika utoaji wa maamuzi, usimamiaji wa mambo na commitment yake kazini. Lowassa hana mna wa kuchekacheka kama anavyocheka JK. Hiki ndiyo kilichosababisha mtandao wa JK ukisaidiwa na usalama wa JK (TISS), umshauri JK amtose rafiki yake ili kulinda Status yake kama Rais. Na kuonyesha kwamba Lowassa aliondolewa kutokana na utendaji wake, JK aliamua kumteua Pinda, mnyonge, akibanwa maswali analia. Balaa hii kwa nchi kwa kweli. Mbona bora ya Sumaye hata kama watu walimwita zero.
Hapa Mkuu nimekupata fresh..lakini msema Hovyo naomba tufanye kitu kimoja cha maana na chenye maslahi kwa taifa..tuache tofauti zetu za vyama kando, Tumwombe Mh Edward Lowassa ayaseme yale yote ambayo yeye mwenyewe kanukuliwa juzi kwamba ukifika mda mwafaka atayasema yote yale yote aliyokuwa akituhumiwa then tuujue ukweli uko wapi..kama wao waliweza kumshnikiza mpaka akajiuzulu sasa na wakamtupia lawama zote hizo mpaka leo wanaendelea kumlazimisha ajivue gamba kama ambavyo ameshafanya swahiba wake mkuu Rostam Aziz..Lowassa anachogapa ni nini? Kweli jamaa katika kusimamia miradi anaweza sana lakini kama wao wameamua kumtosa mapema kabla hajawadhuru basi LOWASSA tunakuomba jitokeze mapema anika maovu yote, then sisi wananchi tutamua tufanye nini...
 
Saint Ivuga jibu usikwepe hoja, hata mimi naanza kuona kama Msema Hovyo ana hoja kosa la Lowassa ni lipi kama ni Richmond mbona hadi leo hii ipo kwa majina tofauti kwanini isitaifishwe kama ilikuwa ni fake, wel tunaweza kusema RA na Kagoda, Chenge na Rada ziko wazi lakini hata hizo nina mashaka kwa vile serikali bado inawakingia kifua then makosa yao hasa ni yepi na kwa nini wawe watatu tu hii inanipa picha kuna kuoneana hapa au kuna kitu ambacho hatukijui wamedhulumiana kwenye mtandao wao am thinking aloud.
Bora wewe umesema mkuu Feedback. Toka mwanzo nawaambia watu wanipe evidence za ufisadi wa Lowassa, hawanipi. Badala yake ama wananishambulia kulingana na jina langu, mara oooh nimetumwa na Lowassa mara oooh uzao wa mafisadi. Nimewaambia Lowassa namfahamu kwenye TV na kwenye magazeti tu. Nataka tuhukumu kwa haki. Ufisadi wake ni upi? Nashukuru Feedback umeamua kureason out na ukaona kuna ka ukweli katika hoja yangu.
 
Hapa Mkuu nimekupata fresh..lakini msema Hovyo naomba tufanye kitu kimoja cha maana na chenye maslahi kwa taifa..tuache tofauti zetu za vyama kando, Tumwombe Mh Edward Lowassa ayaseme yale yote ambayo yeye mwenyewe kanukuliwa juzi kwamba ukifika mda mwafaka atayasema yote yale yote aliyokuwa akituhumiwa then tuujue ukweli uko wapi..kama wao waliweza kumshnikiza mpaka akajiuzulu sasa na wakamtupia lawama zote hizo mpaka leo wanaendelea kumlazimisha ajivue gamba kama ambavyo ameshafanya swahiba wake mkuu Rostam Aziz..Lowassa anachogapa ni nini? Kweli jamaa katika kusimamia miradi anaweza sana lakini kama wao wameamua kumtosa mapema kabla hajawadhuru basi LOWASSA tunakuomba jitokeze mapema anika maovu yote, then sisi wananchi tutamua tufanye nini...
Mkuu The Emils, nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani though ninauona ugumu mahali fulani. Kwa kawaida, Lowassa akilazimishwa aseme ufisadi wake ni nini, badi atasema kwamba wakati wa harakati za Richmond Kikwete alishiriki kwa hatua 1, 2, 3, 4.... Pia atasema kwenye EPA Kikwete alichukua 1, 2, 3, .... akisema haya ni lazima nchi iingie kwenye uchaguzi mpya kwa maana ya kwamba Kikwete atalazimika kujiuzulu. Na hii ni kinyume na kanuni za TISS. Iwapo atajaribu ama kuonyesha nia ya kufanya hivyo au kutamka hadharani kwamba atafanya hivyo basi, atakufa mapema sana.

Kwa hiyo nina wasiwasi kwamba Lowassa hatasema hata iweje. Maana hakuna utetezi anaoweza kutoa Lowassa ambao hautataja jina la Kikwete. Si unakumbuka alipotoka kuachia madaraka, alitaka kujitetea kupitia TBC, Tido Mhando akaagizwa afute kipindi haraka sana? And si unajua kwamba kuondoka kwa Tido TBC ni kutokana na ushirika wake na Lowassa? Sasa fikiria fitina hizo kiasi cha kuondoa hata wale walio pro Lowassa kwenye shirika la umma despite mazuri yote aliyofanya. Huko kwenye chama cha magamba kuna visa na vitina za kufa mtu.
 
Mmmmh sasa hapa Mkuu wewe unashauri tufanye nini maana kuna kundi hili la wazee wa CCJ wanajipanga kummaliza Lowassa..Ngoja tusubiri tuone mwisho wake itakua nini ila nitafurahi zaidi siku EL atakapo tamka Ukweli wote kuanzia BOT kujiuzulu kwa Daudi Balali, nina imani atatueleza Richmond ulikuwa mradi wa nani, pia mengine mengi ambayo sisi wen gine hatuyafahamu..vipi kuhusu hili gazeti la uhuru kuendelea kumchafua lowassa? jana pia Sitta kaema tunalia na umeme lakini tunamfahamu aliyetufikisha hapa..daah kweli hizi kauli tata..
 
Hehe! mkuu bado nafikiria kwakweli. Pengine atakapoamua kujiuzulu atarudisha na kadi ya chama kama nilivyobashiri hapo awali. Iwapo atafanya maamuzi hayo, na kuamua kujiunga na chama cha upinzani, basi anaweza kupaza sauti na kusema yote machafu yaliyomo ndani ya CCM, pengine hata habari za hao akina Balali. Lakini pia Lowassa ana kiapo cha Inteligency system ambayo hata ungejitoa serikalini huruhusiwi kutoa siri za serikali. So anaweza akaamua kutafuta mbinu nyingine za kujisafisha. Lakini akiamua kusema, basi yale ya akina Kolimba yatamfika immediately.
Kwa jinsi system ilivyo complicated, hii ishakula kwake, alie tu. Ndiyo maana nasema kwamba Nape asiendelee kutumika kijinga. Akae chini achunguze mambo halafu aamue kujishusha na kumuomba radhi Lowassa kwa kumchafua pasipo sababu.
 
Mkuu The Emils, nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani though ninauona ugumu mahali fulani. Kwa kawaida, Lowassa akilazimishwa aseme ufisadi wake ni nini, badi atasema kwamba wakati wa harakati za Richmond Kikwete alishiriki kwa hatua 1, 2, 3, 4.... Pia atasema kwenye EPA Kikwete alichukua 1, 2, 3, .... akisema haya ni lazima nchi iingie kwenye uchaguzi mpya kwa maana ya kwamba Kikwete atalazimika kujiuzulu. Na hii ni kinyume na kanuni za TISS. Iwapo atajaribu ama kuonyesha nia ya kufanya hivyo au kutamka hadharani kwamba atafanya hivyo basi, atakufa mapema sana.

Kwa hiyo nina wasiwasi kwamba Lowassa hatasema hata iweje. Maana hakuna utetezi anaoweza kutoa Lowassa ambao hautataja jina la Kikwete. Si unakumbuka alipotoka kuachia madaraka, alitaka kujitetea kupitia TBC, Tido Mhando akaagizwa afute kipindi haraka sana? And si unajua kwamba kuondoka kwa Tido TBC ni kutokana na ushirika wake na Lowassa? Sasa fikiria fitina hizo kiasi cha kuondoa hata wale walio pro Lowassa kwenye shirika la umma despite mazuri yote aliyofanya. Huko kwenye chama cha magamba kuna visa na vitina za kufa mtu.

He will one day come out clean and sober!! Lets just wt n c!!! He is straight especially kwenye mambo yanayohitaji fast and critical solutions!!! It was during his tym as a PM we got a school back in my village in additional to that we had a dispensary which has only panadol for the moment... When he stepped down some of the classes ndo yashakuwa makazi ya Mijusi.... NO BODY IS PERFECT.... MAZURI YA LOWASA NI MENGI KULIKO MABAYA YAKE... on top of that sio Mnafiki kama hawa CCJ- CCM tablalazaries....
 
huo utendaji uliomponza na kutosimamia haki ndio maana hahitajiki tena kule ccm
Anahitajika sana CCm, viongozi hawamtaki kwa kuwa anawafunika. Ndo maana hatuendelei. Btw wakati Richmond inapokelewa Lowasa hakuwa na mamlaka yanayohusiana na uzalishaji nishati - unalijua hilo?, alikuwa PM wakati kampuni ilishapewa zabuni, alichokifganya yeye ni kuwaambia mawaziri husika kutekeleza mkataba: hana kosa hapa balia utendaji wake na maono yale yanamponza.
 
Nakuunga mkono mkuu Gama. Lakini naomba nikusahihishe kidogo tu, kwamba wakati zabuni ya kukodishwa kwa majenereta ya kuzalisha umeme inatangazwa Lowassa alikuwa tayari ni waziri. Lakini kwa kuwa hitaji la umeme lilikuwa kubwa sana, Lowassa alipush mambo yaende haraka zaidi kiasi cha kusababisha baadhi ya hatua za sheria za manunuzi zikarukwa. Na hapo ndipo palipokuja kummaliza. Wabaya wake wakatumia hiyo kama loop hole. Lakini ushahidi wa kwamba ni fisadi hadi saa hizi haupo popote.
 
Kweli vita ya panzi ni furaha ya kunguru.
Sasa subiri kwanza ccm wamalizane kwa siasa zao za kukomoana halafu 2015 tunawaokota kama panzi.
Teh teh teh teh teh teeh
 
Lowasa ni safi ila amekaa kwenye nyumba chafu ambayo anajilazimisha kunyamaza ili kuilinda SIKU akizungumza ndio tutajua. kWA UFUATILIAJI WANGU SIONI CHOCHOTE KIBAYA ZAIDI YA UTENDAJI MZURI NA UTHIBITI.
 
Mhh, Kazi kweli kweli. Kwa kweli Lowassa kiutendaji ni mtendaji mzuri ambae anaweza kufanya watumishi wa serikalini watoke usingizini na wachape kazi kwa ustawi wa taifa hili. Hana zile kauli za Pinda za "tutajaribu, serikali iangalie au itaangalia, tutajitaidi nk." Ila sometimes Lowassa anapitiliza na kuvunja sheria, mfano nakumbuka mwaka 2006 wakati wa ule ukame alitembelea wilaya fulani kanda ya ziwa akasema wafugaji waruhusiwe kuchungia mifugo yao kwenye hifadhi za taifa na mapori ya akiba ambayo yalikuwa yana malisho na maji wakati maeneo mengine yamekauka. Nlishtuka sana kwa agizo lile lililokuwa linavunja sheria na naamini halikutekelezwa.

Tunaitaji PM au hata raisi atakaeweza kuwasukuma watumishi wa uma kuchapa kazi na hivyo kuleta tija, kuondoa matatizo yanayotukabili na tupate maendeleo endelevu. Mtu kama Lowassa na Magufuli wakipata washauri watakaokuwa wanawarudisha kwenye mstari waki off road wanafaa sana kwa Kazi za either PM au hata raisi. Wasiwasi wangu Lowassa kapoteza mvuto na haaminiki kwa Watanzania wengi hata kama mtu akisema anaonewa lakini haitoshi kumsafisha angejisafisha mwenyewe alipotuhumiwa na kamati ya Mwakyembe na hata Mwalimu Nyerere wakati ule wa 1995 akitaka uraisi.

MUNGU atusaidie Watanzania tupate Raisi bora na watendaji wengine kwanzia PM, mawaziri, nk baada ya uchaguzi wa 2015.
 
Zimwi likujualo.................Kuna jambo hapo, wengi wetu humu JF hawatafakari jambo linapoletwa...............Nadhani ni muendelezo wa 'MAAMUZI MAGUMU'................ngoja tuone Nukta zitakapounganishwa...........(Mgao wa umeme, kujivua gamba kwa RA, Dowansi to Symbions, CCJ, CDM and CCM kusambaratika kabla ya uchaguzi 2015, na Hatimae EL kuwa Presidaa wa TZ wakati Taifa kubwa katika sayari hii likisimamia haya yoteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.......) Kisa NAMTUMBO na MANYONI................
 
kila mtu mahali alipowahi kushika alifanya mazuri na mabaya nimeangalia profile ya lowassa hapa, edward lowassa - wikipedia, the free encyclopedia. Nimeona kwamba ni waziri tangu mwaka 1990. Lakin sijaona ni wizara gani ambayo alivurunda? Na kwenye upm bado sioni ni mahali gani alipovurunda, zaidi ya hiyo attitude yake ya kutumia nguvu kupeleka mambo iliyosababisha aingie mkenge wa richmond. Lakini pia ukitaka kuorodhsha udhaifu wa lowassa, ni vema ukaorodhesha na ule wa pinda. Zaidi ya yote, haya yote hayatoshi kuprove kwamba lowassa ni fisadi. Mshahara wa uwaziri unatosha sana kwa mtu mwenye akili kubuni miradi mbalimbali ya kumuongezea kipato na hata kuwa tajiri mkubwa. Ina maana sheria ya nchi inawataka viongozi wakipata mshahara wapeleke bar? Maana wakifanya ya maana tu wanakuwa mafisadi.

1990-akiwa chief whip na disaster under pmo- aliondoa urasimu wa usafiri kwa wabunge, ndie alieasisi wabunge kukopeshwa magari-walianza na shangingi zile tzc....., ktk majanga kijana alikuwa nyota kila linapotokea alifika na suluhisho ndipo akaingia matatizoni na wenye hamu ya kumrithi mwinyi-akaondolewa pale kwa mzee malecela na kupelekwa ardhi......ndie aliewahimiza wananchi kutwaa mabati uwanja wa mnazi mmoja baada kuwepo kwa ujanja wa kubinafsisha viwanja vile.......taratibu watz walianza kumtambua ni nani huyu edward ngoyai lowasa....ktk michakato hii ndani ya zama za ruksa lazima kulikuwepo dosari ambazo aidha ziliwanufaisha baadhi ya watu au kuwaumiza baadhi ya watu...., tangu awali hakuwa tayari kuukubali umaskini wetu hivyo akawa highly spirited kujijengea nguvu za uchumi, nakumbuka rai likiwa chini ya jenerali twaha ulimwengu walimshamtoa front page 1995 "ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke......" by then nilikuwa mvulana mdogo sana lakini ninakiri kuwa licha ya ukwasi wake alikuwa my nambari wani kwa warithi wa mzee alhaj mwinyi na siyo vinginevyo....., 1995-07 alitoswa na mkapa na sababu wanazijua uvccm ya guninita ingawa mnataka sana hapa ndani tuamini ni mwal. Nyerere ndie aliemkataa....la hasha! Ilikuwa ni kazi ya rais mwenyewe ktk kuijenga nchi na chama kimoja na kuwa tayari kukubali matokeo na maamuzi ya chama..... Edward lowassa was dumped just because alikuwa true friend wa jakaya na alimaini 1995 ilikuwa zama ya uvccm kuitwaa nchi kitu ambacho mwalimu alikipinga kwa kumptisha mzee benjamin mkapa by then 56. Ni edward lowassa na ndg yangu na kaka yangu jj.guninita(shikambaku) walioweka wazi kuwa ccm imeidhulumu uvccm kwa kumpitisha bw mkapa......., lowassa alitolewa ktk gazeti la uhuru akiwa amekaa chini analia na tai yake ikiwa lose just because of jakaya candidacy......., ile image haikuwa nzuri kwa ccm, na hata jk aliposema kambi yake imevunjwa na inamuunga mkono mzee wetu mkapa wao wote hawakuwa wakweli ila ni hao wawili walishindwa kuwa wanafiki (lowassa na guninita), system ilijua na chama kilifahamu wakaadhibiwa, uwaziri ukamkosa lowassa licha ya ya mzee mwinyi kumsihi sana mkapa baada ya kuteuliwa mbele ya ccm -gm 1995 , "nakuomba usiwatupe ndg.lowasa na jndg.Kikwete, ni vijana wangu waaminifu na wachapa kazi, watakusaidia" tafuteni video ile ya kizota 1995. Ni jakaya tu alirudi novemba 1995, guninita pia alipoteza ukuu wa wilaya ya kigoma na hatimae alikimbilia chadema.......,
regime ya mkapa 1997-2005: Mazingira alifanya kazi tukufu.....maji :alipafanya pasikike na paheshimike na 2005-2008 under Jakaya aliimarisha zaidi nuru ya serikali na watumishi kuheshimu mamlaka na kuwajibika........, sidhani kama dhambi zake zitaishinda nuru yake na ule utamaduni wake wa kupenda kuwa mbali na unafiki......Edward Lowassa si mnafiki, ni rafiki wa ukweli na yuko tayari kuwajibika kwa gharama yake na taasisi anayoisimamia,kazi kwenu na tumhukumu kwa ukweli na si majungu...........
 
Back
Top Bottom