Nape, tuambie ufisadi wa Lowassa

1990-akiwa chief whip na disaster under pmo- aliondoa urasimu wa usafiri kwa wabunge, ndie alieasisi wabunge kukopeshwa magari-walianza na shangingi zile tzc....., ktk majanga kijana alikuwa nyota kila linapotokea alifika na suluhisho ndipo akaingia matatizoni na wenye hamu ya kumrithi mwinyi-akaondolewa pale kwa mzee malecela na kupelekwa ardhi......ndie aliewahimiza wananchi kutwaa mabati uwanja wa mnazi mmoja baada kuwepo kwa ujanja wa kubinafsisha viwanja vile.......taratibu watz walianza kumtambua ni nani huyu edward ngoyai lowasa....ktk michakato hii ndani ya zama za ruksa lazima kulikuwepo dosari ambazo aidha ziliwanufaisha baadhi ya watu au kuwaumiza baadhi ya watu...., tangu awali hakuwa tayari kuukubali umaskini wetu hivyo akawa highly spirited kujijengea nguvu za uchumi, nakumbuka rai likiwa chini ya jenerali twaha ulimwengu walimshamtoa front page 1995 "ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke......" by then nilikuwa mvulana mdogo sana lakini ninakiri kuwa licha ya ukwasi wake alikuwa my nambari wani kwa warithi wa mzee alhaj mwinyi na siyo vinginevyo....., 1995-07 alitoswa na mkapa na sababu wanazijua uvccm ya guninita ingawa mnataka sana hapa ndani tuamini ni mwal. Nyerere ndie aliemkataa....la hasha! Ilikuwa ni kazi ya rais mwenyewe ktk kuijenga nchi na chama kimoja na kuwa tayari kukubali matokeo na maamuzi ya chama..... Edward lowassa was dumped just because alikuwa true friend wa jakaya na alimaini 1995 ilikuwa zama ya uvccm kuitwaa nchi kitu ambacho mwalimu alikipinga kwa kumptisha mzee benjamin mkapa by then 56. Ni edward lowassa na ndg yangu na kaka yangu jj.guninita(shikambaku) walioweka wazi kuwa ccm imeidhulumu uvccm kwa kumpitisha bw mkapa......., lowassa alitolewa ktk gazeti la uhuru akiwa amekaa chini analia na tai yake ikiwa lose just because of jakaya candidacy......., ile image haikuwa nzuri kwa ccm, na hata jk aliposema kambi yake imevunjwa na inamuunga mkono mzee wetu mkapa wao wote hawakuwa wakweli ila ni hao wawili walishindwa kuwa wanafiki (lowassa na guninita), system ilijua na chama kilifahamu wakaadhibiwa, uwaziri ukamkosa lowassa licha ya ya mzee mwinyi kumsihi sana mkapa baada ya kuteuliwa mbele ya ccm -gm 1995 , "nakuomba usiwatupe ndg.lowasa na jndg.Kikwete, ni vijana wangu waaminifu na wachapa kazi, watakusaidia" tafuteni video ile ya kizota 1995. Ni jakaya tu alirudi novemba 1995, guninita pia alipoteza ukuu wa wilaya ya kigoma na hatimae alikimbilia chadema.......,
regime ya mkapa 1997-2005: Mazingira alifanya kazi tukufu.....maji :alipafanya pasikike na paheshimike na 2005-2008 under Jakaya aliimarisha zaidi nuru ya serikali na watumishi kuheshimu mamlaka na kuwajibika........, sidhani kama dhambi zake zitaishinda nuru yake na ule utamaduni wake wa kupenda kuwa mbali na unafiki......Edward Lowassa si mnafiki, ni rafiki wa ukweli na yuko tayari kuwajibika kwa gharama yake na taasisi anayoisimamia,kazi kwenu na tumhukumu kwa ukweli na si majungu...........
Thanks mkuu kwa kutuweka sawa katika hili. Mimi nafikiri wana JF wengi humu ndani wanapenda kujenga hoja kwa kufuata mkumbo tu. Kwa kuwa magazeti yamesema fulani mbaya, basi kila mtu anadakia tu na kuunga kukubaliana bila kufanya uchunguzi. Kwa jinsi ambavyo nimesoma mfululizo wa posts humu nimegundua kabisa Msema hovyo si wa hovyo kama anavyojiita. Huyu jamaa anajenga hoja na anaweza kuitetea. Na kile alichokidai hadi sasa hakuna aliyeweza kukileta (ushahidi wa ufisadi wa Lowassa). watu wamebaki kumbeza na kumdharau, lakini ukweli utabaki palepale, Lowassa ni kiongozi super. Na hizo hoja za ufisadi zina chimbuko ambalo CCM na hasa JK ndiye anayelijua. Lakini uzuri matokeo ya ubaya hulipwa hapa hapa duniani. Majonzi ya Lowassa naamini yatasikika mbele za Mungu.

Katika kuchunguza kwangu uhalisia wa mambo nimegundua kwamba Lowassa anasakamwa kutokana na kuonekana kuwa ni mtendaji mzuri kumshinda Kikwete, jambo ambalo lilikuwa linahatarisha reputation ya Kikwete kama Rais.

Nape naye kwa kutokuelewa akakakurupuka tu na kuanza kumtaja Lowassa kama fisadi. Lakini mimi leo nataka mwenye data za ufisadi wa Lowassa na aseme hapa. Lowassa amefisadi nini? Watu mnapayuka tu Richmond, richmond, lakini hakuna anayesema Lowassa alipata bei gani kutoka kwenye ile Kampuni. Wote tunajua kwamba Rostam alipata bilioni 40 za kagoda kupitia kagoda, pia tunajua ndiye aliyekuwa mmiliki wa Richmond ambayo baadaye ilibadilishwa na kuwa dowans. Pia tunajua kwamba Chenge alituibia hela ya rada.

Sasa Lowassa ameiba nini kilicho dhahiri? Ninachoamini mimi Lowassa aliponzwa na utendaji wake, wa kutaka kupush mambo yaende. Hakuwa legelege kama Pinda ambaye anang'aa tu macho huku watanzania wakiteseka kutokana na ukosefu wa umeme. Lakini katika harakati za kuhakikisha watanzania wanapata umeme ontime Lowassa alijikuta analazimika kumpush Msabaha aharakishe utoaji wa tenda kwenye kampuni iliyopitishwa na kamati, bahati mbaya kampuni iliyopitishwa ikawa fake.

Lowassa hakuwa kwenye kamati ya kupitisha mzabuni wa kuleta mitambo ya umeme, na wala hakuna mahali panapoonyesha kwamba Lowassa alimwambia Msabaha lazima apitishe richmond badala ya makampuni mengine. Tuna ushahidi wa kimazingira juu ya ufisadi wa Chenge (vijisent), na ule wa Rostam ambaye alijitambulisha kuwa msimamizi wa Dowans. Sasa Lowassa ufisadi wake upo wapi?

Ninaamini kwamba Lowassa anaandamwa kutokana na utendaji wake, ati ni tishio kwa uongozi wa Kikwete, pia na fitina za Nape dhidi yake.

Kwanza kabisa nakupongeza Msema ovyo kwa swali makini ambalo ni watu ''makini'' tu ndiyo wanauwezo wa kuuliza swali makini kama hili. Nape amekurupuka na hajui siasa, baada ya kupewa cheo hicho alisahau kabisa kuwa mwaka jana alikuwa mtu aliyetupwa jalalani akakataliwa kabisa na wana ccm kiasi cha kunyimwa nafasi ya kugombea nafasi ya ubunge ubungo. Huyu Nape ndiye yule ambaye aliwahi kuchanganya jumuiya ya vijana kiasi cha kutaka kutimuliwa kwenye umoja huo, Kimsingi Nape nimwepesi wa kusahau, Nape alijulikana kuwa ni sumu mbaya ambayo haifai kuwa sehemu ya chama cha ccm. Leo hii nape amesahahu, anaeneza chuki na fitna kwenye chama. Lowasa alikuwa kiongozi wa juu ambaye hata kwa akili ya kawaida tu haiwezekani ahusike kwenye ununuzi wa mitambo, kipindi kile tulitangaziwa kabisa kuwa kama hali ya kupungua kwa kina cha maji ingeendelea vile nilazima nchi nzima ingezimwa umeme. HIVI INGEKUWA NI AINA GANI YA SERIKALI AMBAYO HAICHUKUI HATUA HATA BAADA YA KUAMBIWA HABARI HIZO MBAYA? kimsingi sio mwakyembe wala nani ambaye ameshasema ni kiasi gani Lowasa kachukua. Kwa nguvu zangu zote naamini Lowasa Hakuhusika kwa namna yeyote na kama amehusika basi baraza lote la mawaziri pamoja na mwenyekiti wao hawawezi kujitenga na ufisadi kitu ambacho naamini haiwezekani kwani naamini walikuwa na nia nzuri kwa Taifa bali watendaji wabovu ndiyo walistahili kubebeshwa lawama hizi vinginevyo SIJAONA TATIZO LA LOWASA, Kwa hawa wengine kama Rostam na Chenge siwezi kuzungumza maana kwa namna moja au nyingine mambo waliyotajwa nayo wanaukaribu nayo. Mimi sitaki dhambi!!!!!! LOWASA HANA HATIA ila kuliko kuendelea kuwepo kwenye chama cha kinafiki namna hii afadhali aondoke awaache hao wasafi tuone kama mambo yataenda. Kazi ya Lowasa waliowengi wanaitambua, na uchapakazi wake unaeleweka, sasa kuliko kuendelea na siasa hizi UCHWARA awaache illi watakapo garagazwa mwaka 2015 wasije sema ni Lowasa. Hivyoo awaandikie waraka wa HAMAN ili wakafie huko.!!!

1990-akiwa chief whip na disaster under pmo- aliondoa urasimu wa usafiri kwa wabunge, ndie alieasisi wabunge kukopeshwa magari-walianza na shangingi zile tzc....., ktk majanga kijana alikuwa nyota kila linapotokea alifika na suluhisho ndipo akaingia matatizoni na wenye hamu ya kumrithi mwinyi-akaondolewa pale kwa mzee malecela na kupelekwa ardhi......ndie aliewahimiza wananchi kutwaa mabati uwanja wa mnazi mmoja baada kuwepo kwa ujanja wa kubinafsisha viwanja vile.......taratibu watz walianza kumtambua ni nani huyu edward ngoyai lowasa....ktk michakato hii ndani ya zama za ruksa lazima kulikuwepo dosari ambazo aidha ziliwanufaisha baadhi ya watu au kuwaumiza baadhi ya watu...., tangu awali hakuwa tayari kuukubali umaskini wetu hivyo akawa highly spirited kujijengea nguvu za uchumi, nakumbuka rai likiwa chini ya jenerali twaha ulimwengu walimshamtoa front page 1995 "ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke......" by then nilikuwa mvulana mdogo sana lakini ninakiri kuwa licha ya ukwasi wake alikuwa my nambari wani kwa warithi wa mzee alhaj mwinyi na siyo vinginevyo....., 1995-07 alitoswa na mkapa na sababu wanazijua uvccm ya guninita ingawa mnataka sana hapa ndani tuamini ni mwal. Nyerere ndie aliemkataa....la hasha! Ilikuwa ni kazi ya rais mwenyewe ktk kuijenga nchi na chama kimoja na kuwa tayari kukubali matokeo na maamuzi ya chama..... Edward lowassa was dumped just because alikuwa true friend wa jakaya na alimaini 1995 ilikuwa zama ya uvccm kuitwaa nchi kitu ambacho mwalimu alikipinga kwa kumptisha mzee benjamin mkapa by then 56. Ni edward lowassa na ndg yangu na kaka yangu jj.guninita(shikambaku) walioweka wazi kuwa ccm imeidhulumu uvccm kwa kumpitisha bw mkapa......., lowassa alitolewa ktk gazeti la uhuru akiwa amekaa chini analia na tai yake ikiwa lose just because of jakaya candidacy......., ile image haikuwa nzuri kwa ccm, na hata jk aliposema kambi yake imevunjwa na inamuunga mkono mzee wetu mkapa wao wote hawakuwa wakweli ila ni hao wawili walishindwa kuwa wanafiki (lowassa na guninita), system ilijua na chama kilifahamu wakaadhibiwa, uwaziri ukamkosa lowassa licha ya ya mzee mwinyi kumsihi sana mkapa baada ya kuteuliwa mbele ya ccm -gm 1995 , "nakuomba usiwatupe ndg.lowasa na jndg.Kikwete, ni vijana wangu waaminifu na wachapa kazi, watakusaidia" tafuteni video ile ya kizota 1995. Ni jakaya tu alirudi novemba 1995, guninita pia alipoteza ukuu wa wilaya ya kigoma na hatimae alikimbilia chadema.......,
regime ya mkapa 1997-2005: Mazingira alifanya kazi tukufu.....maji :alipafanya pasikike na paheshimike na 2005-2008 under Jakaya aliimarisha zaidi nuru ya serikali na watumishi kuheshimu mamlaka na kuwajibika........, sidhani kama dhambi zake zitaishinda nuru yake na ule utamaduni wake wa kupenda kuwa mbali na unafiki......Edward Lowassa si mnafiki, ni rafiki wa ukweli na yuko tayari kuwajibika kwa gharama yake na taasisi anayoisimamia,kazi kwenu na tumhukumu kwa ukweli na si majungu...........
Thanks mkuu kwa kufafanua haya. Mimi nilikuwa siyajui!! Kumbe jamaa kafanya mengi kiasi hiki? Waache kutuchezea akili zetu hawa. Wanatuletea Pinda analia tu bungeni na hana lolote jipya la kufanya? Kuna haja ya kusimama na kusema no.

Mbona huulizi kwanini siku zile Mwinyi aliachia nafasi yake ya uwaziri wa mambo ya ndani? Je kile kilichotokea kwa Mwinyi kilimaanisha kwamba yeye ndiye aliyesababisha wafungwa wafe? Au ilikuwa ni kwa sababu yeye alikuwa ndiye waziri mwenye dhamana? Basi kama mwinyi hakufunga milango wafungwa wafe, na bado akawajibika, vivyo hivyo Lowassa aliwajibika kutokana na nafasi yake na si lazima kwamba yeye aliiba hela akapeleka popote. Kama aliiba basi Nape atuambie ilikuwa ni bei gani? Na aliipeleka wapi? CCM wanapenda sana siasa za maji taka.
dah!kichwa ...hongera.

Mimi nilipoanza mambo ya kufuatilia siasa za bongo, juzi juzi (1995) Wakati JK original anakata jina la Lowassa kugombe urais with the reason nanukuu "kijana mdogo anapata mapesa yote haya toka wapi?" toka siku hiyo kichwani kwangu nikajua jamaa si msafi.

By the way kama unasema ametumia akili kufanya biashara, ina maana yeye miaka yote amekuwa akifanya biashara na si kutumikia umma? je huo siyo ufisadi? Kwa maana hiyo amejiondolea sifa za kuwa kiongozi wa umma.

cha msingi lete hoja kwamba " CCM nani msafi?" hapo nitakupata na tutamtetea lakini si kwa style hii ya leo. kajipange mh. kwani kumsafisha jamaa huyu ni kazi zaidi ya unavyofikiri.

huyu bwana ni mamluki wa LOWASA HUMU SH2KENI HUO NI UNAFKI KIUHARISIA HATA IWE KWA AKILI YA KUAZIMA LOWASA NI MBOVU KWA MUJB WA MBUNGE MMOJA WA VITI MAALUMU(SIMTAJI) ALISEMA KUWA WAKATI WA ILE SKENDO YA WAZIR MKUU ULFANYKA MKUTANO WA WABUNGE WA CCM na VIONGOZ WENGNE WAKAMSHAURI EL AJIUZURU UKWELI LOWASA NI AROGANT NA SI MCHAPA KAZI

ninyi MWL SI MJINGA KUWATIMUA LOWASA NA MEMBE NJE YA UKUMBI KPND KILE ALIJUA TU UDHAIF WA HAWA JAMAA NA ILI KUDHIHRISHA UBOVU WA LOWASA 2008 AKAKMBIA UWAZR TENA KWA HOTUBA NYEPESI KAMA YA WAMBEA WA MTAA. Na kiukwel roho ilimuuma lowasa KWA 7BU WEZI WENZIE WALIMTOA SADAKA NA MUACHE AWE ANASHOUT 7BU ANAUJUA MFUMO KAMA KIGANJA CHA MKONO WAKE!

Mkuu mtazamaji ninaamini utakuwa hujamtendea haki kabisa Lowassa iwapo utamhukumu kutokana na uwingi wa mali alizonazo. Kiasi cha mali ambazo mtu anamiliki kinategemeana na akili yake binafsi. Thus, kama Lowassa alijua namna ya kutunza vizuri hela kumshinda Kikwete, basi hiyo isiwe ni sababu ya kuwafanya ninyi mmuone kwamba ni fisadi. Ana ng'ombe wa urithi huko, kama aliweza kuwauza na kuanzisha miradi mbalimbali ya kumuingizia kipato, basi hamna sababu ya kusema sasa ni fisadi. Ili kuweza kujiridhisha kwamba ni fisadi, nendeni mkatuonyesha mahali ambapo Lowassa alichota hela. Kama nilivyosema awali, tuna ushahidi kuhusu Rostam, tuna ushahidi kuhusu Chenge, wa Lowassa uko wapi? Usiseme tu niende tume ya maadili ya viongozi, maana kule wana orodha tu ya mali yake lakini hawana ushahidi wa mahali alipoiba Lowassa. Kwangu mimi naona hilo ni suala tu la akili ya mtu katika kujitafutia kipato. Kama tukisema hivyo, basi akina Mohamed enterprises, Bhahlesa na wafanyabiashara wengine wakubwa wote watakuwa ni mafisadi.

Simuhukumu kiongozi yeyote kutokana na wingi wa mali zake lakini sheria ziko wazi wanatakiwa kusajili mali zao kwenye register ya tume ya maadili. Lakini mali walizonanazona wanazimiliki na zile zilizopo wenye dafari la tume ya maadili haviendani kabisa. Mkuu hili mbona kuna vyombo vya habari vimegusia . Sasa ushaihidi gani mwingine. kwa nini kiongozi afiche au asitaje mali aliyopata kihalali. kwa nn aistajekuwa anamiliki nyumba USA, UK. Kwa nini hawtaaji account za zao za $ zilizoko nje??? Ushahidi hata kwa Lowasa upo he is lucky kishakuwa kuwa PM kama walivyo marais . kuna vyeo ukishagusa kwa nchi zetu hizi unakuwa juu ya sheria.

Halafu hoja zako Mohamed enterpise kwan wame kuwa wenye public service kwa muda gani. Sasa wewe ukilinganisha Lowasa na MO mi nakumbia kuwa fair mlinganishe lowasa na kina Warioba, Kawawa, Msuya,Sumaye,Malechela.

......Tusingekuwa bado tunaongelea njaa nchi hii kama ambavyo mambo yanakwenda hovyohovyo katika kipindi hiki cha Pinda. Niambieni leo, tangu mwaka 2008 Pinda amesimamia mradi gani uliofanikiwa?

hahhaha Hivi unajua Lowasa aliwai kuwaambia ma DC Dc yeyote atayetangaza njaa wilayani kwake hana kazi. Matokeo yake ma dc wakaogopa kutangaza ukweli wa njaa wilayani mwao huku watu wanakula maembe na nyasi. Kwa sabbau ni mtu aliyekuwa ameshika media basi ile habari ikachukuliwa in a positive way. Ukweli mambo yanakwenda ovyo ovyo kiipndi hiki cha pinda the same way kama yalivyokuwa kipindi cha Lowasa tena kuna nafuu. Tofauti iliyopo Pinda hana media nyuma yake Lowasa alikuwa na media nyuma yake. Anchofanya pinda badala ya kufaya kazi za maana ni kurekbisha Mess alizoacha mwenzake Lowasa. Na uzuri au Ubaya pinda si mpiga kelele.

Mkuu si unakumbuka ile taarifa ya mtando waliyotumia kumchafua Sumaye kuwa ana dola tilioni moja nje. Hyo ndiyo michezo aliyocheza lowasa. kiongoi safi hachezi unfair foul kwa mwenzake kupata madaraka.

Kuhusu utendaji wa Lowassa ndugu yangu hatuhitaji kuandikia mate wakati wino upo. Lowassa alikuwa hafanyi kazi kwenye kamera. Kila alichokuwa anaagiza kifanyike, ndicho kilichokuwa kinafanyika. Sote tunakumbuka vizuri alivyosimamia ujenzi wa shule za sekondari na shule zikajengwa. Kile alichokuwa anaanzisha Lowassa alikuwa pia na uwezo mkubwa sana wa kukisimamia. Naamini kama sera ya kiilimo kwanza ingekuwa mikononi mwa Lowassa, basi sasa hivi tungekuwa tunaongea kitu kingine.

Yaani huyu waziri mkuu wa sasa amepinda kama jina lake. hakuna jipya linaloendelea chini yake. Na yeye anakaa na kulalamika badala ya kuchukua hatua. Zaidi sana anakaa na wabunge wa CCM kuwadhalilisha watanzania kwamba ni ombaomba wa posho zao. Pinda is one of the hopeless PM katika nchi hii. Lakini pia kwa kuwa anajua kwamba Kikwete ni mzee wa visasi, inawezekana anaogopa kushine sana kwa kuhofia kung'olewa kama alivyofanyiwa mwenzake.
Mkuu rejea sifa za kiongozi bora wa nchi au public. May be lowasa anaweza kuwa CEO bora wa kampuni. Amekaaa kibiashara biahsra zaidi. Lowasa hawezi kuwa kiongozi bora wa nchi. Uadilifu , uamnifu ni vitu muhimu kwa kiongoi wa umma lakini vinaweza visiwe muhimu kwa CEO wa makapuni ya biashara. Ndio maana unaona hata BAE walikubali kutoa mlungura.

Aliyekamatwa na ngozi ndiye mwizi. Period, kama yeye ana maamuzi magumu kama anavyojitapa aweke wazi, ila hana uwezo kwani kajiozea

Mtu akisema ufisadi tu yeye anafikiria anayesemwa ni yeye na timu yake yote inasimama kupinga na kutetea. Ni kweli ufisadi upo na tunauona kwa macho ukifanyika. Sasa yeye kujiainisha kuwa yeye ndo ishara ya ufisadi kiasi kwamba ukitajwa tu yeye anaona kasemwa ni tatizo. Hajiamini, full stop!!

Ulikuwepo wakati wanatumana??!!!
Nguo za kubadili mwezi mzima huna, . . . unapoteza muda na mambo ya watu wanaojenga uchumi wa wajukuu zao. . . . .

Bunge linajadili na kupitisha bajeti wabunge hawapo haikuumizi kichwa uko busy na makundi na mambo yao. . . . . Taifa hasara sana hili

Afanye uamuzi mgumu kwa kumtaja mchana kweupe. Vinginevyo, ni msala wake tu.

Ulikuwepo wakati wanatumana??!!!
Nguo za kubadili mwezi mzima huna, . . . unapoteza muda na mambo ya watu wanaojenga uchumi wa wajukuu zao. . . . .

Bunge linajadili na kupitisha bajeti wabunge hawapo haikuumizi kichwa uko busy na makundi na mambo yao. . . . . Taifa hasara sana hili

Mkuu umeongea kitu cha msingi saana kiukweli..hao wote tunaowajadili washatosheka wanajenga uchumi wa vitukuu,budget bungeni inapita hakuna hata wabunge...
Inchi watu wengi hawana akili

Ulikuwepo wakati wanatumana??!!!
Nguo za kubadili mwezi mzima huna, . . . unapoteza muda na mambo ya watu wanaojenga uchumi wa wajukuu zao. . . . .

Bunge linajadili na kupitisha bajeti wabunge hawapo haikuumizi kichwa uko busy na makundi na mambo yao. . . . . Taifa hasara sana hili
Wabunge wajinga wote, mil.230 wanachukua halafu wanajifanya eti ni watetezi wa wanyonge.

Katika kuchunguza kwangu uhalisia wa mambo nimegundua kwamba Lowassa anasakamwa kutokana na kuonekana kuwa ni mtendaji mzuri kumshinda Kikwete, jambo ambalo lilikuwa linahatarisha reputation ya Kikwete kama Rais.

Nape naye kwa kutokuelewa akakakurupuka tu na kuanza kumtaja Lowassa kama fisadi. Lakini mimi leo nataka mwenye data za ufisadi wa Lowassa na aseme hapa. Lowassa amefisadi nini? Watu mnapayuka tu Richmond, richmond, lakini hakuna anayesema Lowassa alipata bei gani kutoka kwenye ile Kampuni. Wote tunajua kwamba Rostam alipata bilioni 40 za kagoda kupitia kagoda, pia tunajua ndiye aliyekuwa mmiliki wa Richmond ambayo baadaye ilibadilishwa na kuwa dowans. Pia tunajua kwamba Chenge alituibia hela ya rada.

Sasa Lowassa ameiba nini kilicho dhahiri? Ninachoamini mimi Lowassa aliponzwa na utendaji wake, wa kutaka kupush mambo yaende. Hakuwa legelege kama Pinda ambaye anang'aa tu macho huku watanzania wakiteseka kutokana na ukosefu wa umeme. Lakini katika harakati za kuhakikisha watanzania wanapata umeme ontime Lowassa alijikuta analazimika kumpush Msabaha aharakishe utoaji wa tenda kwenye kampuni iliyopitishwa na kamati, bahati mbaya kampuni iliyopitishwa ikawa fake.

Lowassa hakuwa kwenye kamati ya kupitisha mzabuni wa kuleta mitambo ya umeme, na wala hakuna mahali panapoonyesha kwamba Lowassa alimwambia Msabaha lazima apitishe richmond badala ya makampuni mengine. Tuna ushahidi wa kimazingira juu ya ufisadi wa Chenge (vijisent), na ule wa Rostam ambaye alijitambulisha kuwa msimamizi wa Dowans. Sasa Lowassa ufisadi wake upo wapi?

Ninaamini kwamba Lowassa anaandamwa kutokana na utendaji wake, ati ni tishio kwa uongozi wa Kikwete, pia na fitina za Nape dhidi yake.

Alikuwa mchapa kazi kuliko boss wake? ndukiiiii..... :car:

Back
Top Bottom