Kwakuwa mnalipwa kunitukana hapa ndo maana mnaamini kila mtu analipwa kwa kila afanyalo hata kwenda uwani analipwa...analipwa kwa kazi hiyo, hawezi kukiuka mkataba wake kwa sasa.
Kwakuwa mnalipwa kunitukana hapa ndo maana mnaamini kila mtu analipwa kwa kila afanyalo hata kwenda uwani analipwa...analipwa kwa kazi hiyo, hawezi kukiuka mkataba wake kwa sasa.
kamnukuu mtu,halafu haya ndiyo majibu ya nape:
- Nape Nnauye NAJIULIZA HAYA NDO MASWALI ANAJIULIZA KIJANA WA KITANZANIA??????!!! HUO MVUTO UNAOSEMWA UMEPOTEA KWA TAKWIMU AU KWA KUAMINISHWA GENERALI TU?43 minutes ago ·
1
Nape Nnauye HAYA MABILIONI YALIYOTUMIWA ARUMERU NI YAPI NI TSHS NGAPI HASA MPAKA YAITWE MABILIONI?42 minutes ago
Nape Nnauye HIVI NI UJANJA MTU KUHAMA CHAMA NA CHAMA KINGINE KIKAMPOKEA AU CHAMA MAKINI KITAJIKITA KUTAFUTA WANACHAMA WAPYA KUTOKA KUNDI KUBWA LA WATANZANIA WASIO KUWA NA VYAMA??? UNAJIKITA KUCHUKUA SCREPERS?!!!!!!41 minutes ago
Nape Nnauye VIJANA WANAOHAMA ARUSHA NI KINA NANI NA HISTORIA YAO NDANI YA CHAMA ZAIDI YA KUTUKANA VIONGOZI WA CCM NI NINI?40 minutes ago
Sleim Salum CCM ni chama kikubwa40 minutes ago
Nape Nnauye TAKWIMU ZINAONYESHA KINONDONI PEKEAKE TENA KWENYE MATAWI TU ACHILIA MBALI KATA NA WILAYA TUNAO MAPROFESA, WANAJESHI WASTAAFU, MA DOCTARI, GRADUATES NK WAMEGOMBEA , ANAYEDANGANYA ETI WATU HAWATAKI KUJAZA FOMU NANI?38 minutes ago
Safi sana nape, hawa wamefanya jf kama hati miliki ya chadema msikate tamaa hakuna kizuri kikachokuja bila vikwazo
yaani hata kuandika SCRAPER imemsinda ..... huyu sio kiongozi
Duble unaakili sana, umejuaje?
Kamanda NAKUSHUKURU KWA KUSAHIHISHA NA KUELEZA UKWELI, DUBLE ALITAKA KUPOTOSHA UKWELI MAKUSUDI'........
Usisahau kwamba huyu ni mhitimu wa shahada ya uzamili(masters) toka chuo kikuu Mzumbe!
Kweli ''kiinglish'' ni janga la Taifa. ''My professional is politician, my daily bread is engineering!''
Huyu jamaa jezi ya Yanga imemtoa kweli.NImegundua namna bora ya kufanya mjadala JF usitolewe ni kuanzisha FB then watauchukua kuuleta hapa na mjadala utaendelea sana! Ahsante kwa kutembelea wall yangu..... Karibuni tena
Sina haja ya kunukuu maneno yaliyoandikwa kwenye vitabu wakati sijazaliwa. hebu twende hapo Iraq tu, baada ya majeshi ya Marekani kuiteka Baghdad lakini bado yule waziri wa Habari Al Sahaf alikuwa na ushuja wa kijinga na kujisifu kwamba hakuna hata Mmarekani mmoja atakaekanyaga Baghdad na Baghdad ndio litakuwa kaburi lao na kwamba Baghdad ilikuwa haijatekwa!!
Lakini ukweli halisi yule jamaa mpaka sasa anaishi uhamishoni, sasa Nape ni mganga njaa tu, subilini kwenye uchaguzi wao wa ndani mwaka huu JK amuweke kando hamtoamini masikio yenu.
Nape ni mtu ambaye hajui alifanyalo na nadhani bado hamfahamu vyema JK kwamba anaweza kuteuwa sura mpya kwenye CCM Taifa baadaye mwaka huu, na ndio mtawajuwa walivyo wanafki hawa vVijana wazee.
Kwakuwa mnalipwa kunitukana hapa ndo maana mnaamini kila mtu analipwa kwa kila afanyalo hata kwenda uwani analipwa
NImegundua namna bora ya kufanya mjadala JF usitolewe ni kuanzisha FB then watauchukua kuuleta hapa na mjadala utaendelea sana! Ahsante kwa kutembelea wall yangu..... Karibuni tena
kwa nini CC ichukue uamuzi baaada ya shinikizo la kumng'oa pm na kutishia kutopisha bajeti za wizara 8 endapo mawaziri hawataondolewa ???
Hadi hapa ni Chama kipi kinaongoza nchi hii kwa remote control ??
yaani hata kuandika SCRAPER imemsinda ..... huyu sio kiongozi
Safi sana nape, hawa wamefanya jf kama hati miliki ya chadema msikate tamaa hakuna kizuri kikachokuja bila vikwazo
Tumesha wazoea, AKIFA KWA NGOMA mtasema ALIKUFA KWA PRESHA ama Ki SUGAR....
Hata jana tulishuhudia MP akizomewa live lakini Mwenyewe akikanusha kuwa hakuzomewa.. Mtakanusha sana tu mwaka huu.. KIMBUNGA HIKI Kaka...
Naaaam
Mwita Maranya
Kwakuwa mnalipwa kunitukana hapa ndo maana mnaamini kila mtu analipwa kwa kila afanyalo hata kwenda uwani analipwa