Nape Nnauye: Toka moyoni mwangu

Hizi ndizo statements zilizotolewa na Saif Al-Islam wakati vita inaanza:!
  1. To fight and die in Tripoli
  2. To fight and die in Tripoli
  3. To fight and die in Tripoli
Mwisho wa siku alikamatiwa Awbari na siyo Tripoli kama alivyokuwa anajigamba mwanzo.

Mytake: Huwa wanazikana Statement zao baadaye!
Mkuu unanikumbusha Chemikali Ally wa IRAQ ya SADDAM.
 
Duble unaakili sana, umejuaje?

Nnauye bwana. hongera kaka...hata siku moja usikate tamaa pambana hadi mwisho...."Ombea audi yako aishi miaka mingi, ili CHADEMA tukichukua nchi mpate cha kujifunza angalau kwa miaka mitano....mimi nakuombea maisha marefu ili ujifunze WHAT IT MEANS TO LEAD A NATION, AND NOT TO RULE A NATION." KILA LA HERI KATIKA KUENEZA UFISADI NA DHULUMA KWA WANANCHI....
 
Ukimpata house girl jasiri kama Nape. Majirani watakukoma. Maadamu kuna malipo.
 
Duble unaakili sana, umejuaje?

Nape ni kwanini ni rahisi wewe kutumiwa kiasi hiki.

Nakuhakikishia CCM hakiwezi kushinda 2015. Watu wamechoka sana. Serikali wezi ni ya CCM. Maendeleo yameshindikana kwa miaka 50, bado tuwaamini. Labda muaminiwe Singida na Pwani.
 
NImegundua namna bora ya kufanya mjadala JF usitolewe ni kuanzisha FB then watauchukua kuuleta hapa na mjadala utaendelea sana! Ahsante kwa kutembelea wall yangu..... Karibuni tena

Wanasiasa wa leo kazi mnayo...mpaka mfike mwisho wa safari, mtaona na kujifunza mengi
 
Nape mimi sio kwamba natembelea fb page yako..kilasiku naioan kwnai wewe nni rafiki yangu pale ..na wewe sio mtu mdogo neno lako moja lina ujumbe mzito sana kwenye siasa za nchi yetu kwa hiyo inabidi uwe mdogo tu
NImegundua namna bora ya kufanya mjadala JF usitolewe ni kuanzisha FB then watauchukua kuuleta hapa na mjadala utaendelea sana! Ahsante kwa kutembelea wall yangu..... Karibuni tena
 
Nafikiri uwanja wa kiongozi yeyote ni kwenye ofisi zao rasmi tulizowapa badala ya FB, twiter, nk.

Nguvu(power) tulizowapa zinatosha kutengeza tovuti zenye habari za kutosha na mipango yenu ya kuleta maendeleo. Badala yake nguvu hizo mnazitumia kuwanyanyasa wananchi, na kuacha ofisi zetu hazina chochote. Mali na hela zetu mnawaachia wajanja wanatamba nazo kwa kujenga magorofa na magari ya anasa.

Yako wapi maisha bora kwa kila mtanzania?
  1. Tunataka watoto wetu wapate huduma kama wengine.
  2. Tunataka wazee wetu waishi mpaka siku zao walizopangiwa na Mungu wao zifike.
  3. Tunataka huduma kwa watu wote - barabara, afya, akiba, nk
  4. Tunataka kila mtu apate nafasi ya kuzalisha na kupata kipato - sio wanasiasa waingize mamilioni kwa mwezi wengine hata shilingi kumi ni ndoto
  5. Tunataka tujivunie serikali yetu - serikali inalinda nchi na wanachi, sio kulinda wezi na kuua wanachi.
  6. Tunataka tujivunie nchi yetu
  7. Tunataka uhuru wa mawazo, kuamini na kufanya tunayoamini kulingana na katiba - sio wengine wanachinjwa kama kondoo eti ni wapinzani au wanakosa kazi kwa sababu baba zao hawakuwa viongozi au sio marafiki au waamini wa siasa, dini au falsafa fulani
100% hawana majibu ya haya maswali
 
Nape acha kuishi kwa MATUMAINI Tumia vipimo we mtu mzima kama unasema hamna vijana wanahama chama just do scintific proof by kuja kufanya mkutano arusha we najua utapata kibali faster maana polisi yakwenu alafu urudi jf utoe majibu sahihi
 
Ni jambo la kawaida kukosea kuandika neno,alafu tambua kwamba kujua kingereza hakumaanishi kwamba wewe ni kiongozi mzuri! Mbona hauhoji kwa Wenje au Vincent au Lema au Msigwa wenye elimu duni na wengine za kuunga unga ambazo huwezi fananisha na elimu ya Mh Nape?
Mkuu unajua elimu ya Nape?unaujua mwanzo wa elimu yake?una uhakika kabisa unaijua?
Kama hujui ni heri ukae kimya..ukiendeleza ubishi nitakufafanulia hatua kwa hatua.
Na sidhani kama Nape yupo tayari kwa hilo.
 
NImegundua namna bora ya kufanya mjadala JF usitolewe ni kuanzisha FB then watauchukua kuuleta hapa na mjadala utaendelea sana! Ahsante kwa kutembelea wall yangu..... Karibuni tena


Bila kutafuna maneno, kweli Nape najua huwa unaongea kwa kusutwa roho hasa pale unapoutetea uongo kuwa ukweli!unalipwa kiasi gani ndani ya CHAMA? Unatetea mashahi gani ya Taifa hili?Kesho kutwa unaingia kwenye kundi rika la Wazee, unamchango gani endelevu kwa Taifa hili? kanini usiwejasiri kama Julius Malema wa Afrika Kusini na ukawa kiongozi shupavu wanaouzungumza ukwlei ndani ya Familia ya CCM?Umepewa nini Nape? Ni huzuni sana kundi rika letu ukatengenezwa kuongea mazingira chikozi na kuyafanya mazingira rafiki?Embu tueleze upo tayari kujisaidi hadharani eti ni namna ya kukidhi haja ya mwili wako mbele ya hadhara?Fafsiri zaidi kijana mwenzangu ili na Tanzania ikupende na miaka 30 ijayo basi uwe kweli mfano wa kuigwa na uweze kukubalika katika mashauri mbalimbali

hata watoto ndani ya familia kwa mara kadhaa hubishana na wazazi lengo likiwa ni mzazi afahamu yakuwa hata mie mtoto naelewa baadhi ya mambo!

Jitadhimini upya, ikiwezekana hakikisha unasema ukweli kwa mara kadhaa tu, walau mara moja kwa kila mwezi na mara 12 kwa mwaka.
Aksante sna na naamini utakua umenielewa vyama Kijana mwenzangu


ukipenda sema CDM hoyeee...kimoyomoyo tuu
 
pole Nnauye na ccm iliyokufa.
swali langu kwako ndugu yangu, kwanini safari hii JK alikimbilia kuitisha cc ya dharura(baada ya CDM kuitisha) ili kutafuta ridhaa ya kuwawajibisha mawaziri wezi ilihali hakuwahi fanya hivyo hata alipomhadaa EL na kuvunja baraza?hii ya sasa ina ninin?
Wewe endelea kucheza ngoma usiyoijua bado hujaabishwa kwa kiwango cha kutisha kama anavyoaibishwa mtoto wa Mkulima kila kukicha.
JK ni kinyonga wa sumu, shauri yako Br. ni siku utamwona amegeukia kundi la EL
is up toU
 
Kwa nini tunajitahidi kuwaamsha ccm waliolala? je tunataka waendlee kuitafuna na kuididimiza nchi hii?

Nionanyo mimi ccm hawana majibu (practically viable solutions) kwa maswali hayo. So tusishangae Nape alivyojibu

Rejea alichosema "Mr. Sugu" bungeni; CCM wanatakiwa wawe chama cha upinzani makini ifikapo 2015 ndiyo maana ya changamoto wanazopewa na Upinzani.
 
Ukifika muda muafaka, hakuna atakayekuwa anapoteza muda ku-coment tena, ila ni kilio tu na kusaga menu.. Kama vipi soma kile kinachokufaa na chenye kukubadilisha fikra zako. Si wote wanaokusapoti wanakupenda mkuu. And its viseversa it true.

Tunaipenda sana CCM lakini tunahitaji, na tuko tayari kwa mabadiliko 2015
Change does not roll in on the wheels of inevitability, but comes through continuous struggle. And so we must straighten our backs and work for our freedom. A man can't ride you unless your back is bent.
- Martin Luther King, Jr​
 
Back
Top Bottom