Nape Nnauye ni silaha itakayomuumiza sana JPM 2020

Wakuu heshima kwenu.
Naomba nilete huu Uzi Na iwe kumbukumbu wakati Wa uchaguzi ujao.
Nape Moses atakuwa center ya mashambulizi muhimu sana dhidi ya chama tawala na serikali ya JPM.
Kwa Sasa Nape anaonekana kukaa ndani ya CCM kama reject , yaan regime haimtaki Na pia haiwezi kumfukuza, wengi wanamtazama Membe kama tishio lakin Nape ndiye tishio Kwa serikal katika uchaguzi far Kwa asilimia nyingi kuliko Membe.
Nasema haya iwe alarm Kwa serikal Na imake peace na Nape Kwa sababu naiona hatari hapo mbele.
Kwanza napaswa nikili kuwa Nape ni Moja ya watu wachache sana dunian wenye kipawa cha kipekee,nape unaweza kumpa ice cream ainadi kwenye winter na ikanunuliwa kuliko heaters.
Nape unaweza kumpa Mbatia kama mgombea uraisi akamnadi na Mbatia akawa Raisi.
Najua chama tawala kinapenda kishinde kihalali pasipo kushindwa au kupata taabu kama mwaka 2015.
Nape Moses ana karisma ya kuvutia watu anapoongea, mpaka Sasa watu wanawaza Nape yupo upande upi ?
Uhakika nilio nao Nape hayuko upande Wa JPM Na hayuko upande Wa wapinzan Hawa tuwajuao.
Naiona CCM kama ANC kipindi cha jacobo Zuma na Mbeki ,Kwa psychologia ndogo na ya wazi kabisa hakuna anayetaka ahamie upinzan muda huu maana serikal itapata muda Wa kumdhoofisha, wengi wanasubir ambush attack hasa during near by election day.
Na ndio maana serikal Na chama tawala Kwa kustukia mbinu hio inaleta mswaada wenye lengo la kumtaka mgombea awe amekaa kwenye chama alichohamia walau mwaka mmoja ,hahahahaahaaa Sasa hapa target ni wale wahamiaji Toka CCM kwenda UPINZANI.
Lakin trust me Nape has outsmarted CCM na JPM Kwa miles nyingi sana, amewafanya wadeal na Membe na anatumia camophology hio kujiandaa vizur.
CCM watapata suprise shock kubwa mno kama hawatashtukia utaalamu Wa Nape na kuendelea kumuona kama under dog.
Kwa kumalizia tu nikuhabarishen Nape ni mtaalamu sana Wa kinachoitwa character assassination, Nape ndie mwanzilishi Wa msemo Wa oil chafu,etc
Watu wenye namna ya Nape ni kama Trump ambaye ni mzuri sana kwenye character assassination ,


Mkuu,hapa unamjenga au unamchafua Nape au unawapa tahadhari Sisiem ama unajaribu kutibua mipango ya watu au ni nini hasa??!!
 
Naona umempamba Nape kuliko alivyo. Tunaomjua Nape tumeshangaa sana, maana tunamjua na uwezo wake tunaujua. Binafsi sitamuamini wala kumshabia Nape milele.

Ngoja nikwambie ukweli, Nape hana tofauti yoyote na Pole Pole, Makamba, Jerry Muro, Hapi au Bashite, wote wana tabia kuu mbili zinazofanana.

1/Watumwa wa madaraka. Ukiwahaidi madaraka wanaweza kufanya ujinga na uhuni wowote kuhakikisha wanatimiza malengo ya mtawala. (Kumbuka ni Nape huyo huyo aliyetumika kuzunguka nchi nzima kumtukana Lowassa ni Fisadi wakati akiwa CCM, Nape huyo huyo aliyekuwa karani wa kushabikia kukatwa kwa majina ya wagombea wa urais wa CCM, Nape huyo huyo aliyetumika katika kuchakachua matokeo ya urais kwa style ya goli la mkono, Nape huyo huyo aliyehusika kuua nguvu ya vyombo vya habari ikiwemo kuzuia bunge Live nk.

2/Nape ni ndumilakuwili. Ana ndimi mbili. Hawezi kusimamia kile anachokiamini. Pesa yako tu inatosha kumnunua Nape. Ni msanii na msaliti wa kawaida sana.
 
Mkuu mimi niliwatoa thama hao wapinzani mwanzoni kabisa. Tulihamasika sana mwanzoni wakati NCCR ilipoanza kwa kongamano pale Diamond Hall. Lengo la NCCR lilikua kudai katiba mpya ya vyama vingi pia kuwepo na serikali ya mpito kushughulikiabkatiba kabla ya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi. Viongozi wetu wakatusaliti. CCM ilipandikiza watu wske. Upinzani ulianza kugawsnyika hata kabla ya uchaguzi. Muasisi wa harakati za vyama vingi Tanzania mzee James Mapaalala akawekwa kando. NCCR ikabadilishwa kutoka daràhja la harakati za kutaka katiba mpya mpaka chama siasa. Wakaomgezaageuzi na kukisajili kama chama. Sisi wenye akili tulijua waliuvaa mkenge lakini wqtu wanaojidanganya kama baadhibya wafuasi wa hupinzani humu JF wakabaki wakiwa kama mafisi wakisubiri mkono wa binadamu udondoke. Sasa miaka zaidinyab20nimepita bado wanadhani wataishinda ccm. Tukisema ukweli wanatutukana wengine hata hawakuwepo wakati vyama vingi vinaanzishwa. Ati wanaaitana makamanda kuna kamanda zaidi ya hayati Mtikila?

CCM ittaendelea kutawala mpaka mtu mpenda haki aje awageuke wenzake kama mqanawasa alivyomgeuka Chisano. Kama siyo tubaki kama mafisi kuusubiri mkono uanguke. Mwaka 2020 ni pigo kwa upinzani sababu watapoteza viti vingi. Kuna report imetolewa na EI kwamba Magufuli na ccm watashinda kwa kishinda sababu playing ground haiko fair. HAPA MAKAMANDA WANADHANI LISSU ATABADILISHA MABOX YENYE KURA KUWA ZA KWAO.

WAZARAMO WALISEMA 'KARAGA BAHO NA UBOZI WAKO"
WABILAH TAWFIQ WAS SALAAM ALAYIKHUM WE BARAKATUH
Huu ukweli mchungu sana aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usogezwe mbele mpaka 2023



Kwa hali hii tunayoiona hivi sasa, mwaka 2020 mimi sitapiga kura, kwa sababu "mshindi" anajulikana tayari hivyo mimi siwezi kwenda kupoteza muda wangu bure kwa Uchaguzi ambao hautakuwa "huru haki na wazi" nadhani kwa mara ya kwanza katika historia ya chaguzi Tz damu itamwagika.

Kwani si tumeona mifano katika chaguzi ndogo za marudio, Dalili ya mvua ni mawingu.

Mungu ainusuru Tz yetu, na mabalaaa yanayonukia kutukumba.
 
Huu ukweli mchungu sana aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watu wanapenda useme wanayotakuyasikia. Last week nilikua na mbongo mwenzangu tunaangalia mechi ya wolves v Liverpool. Niwamwambia Hii mechi Liverpool harudi, akasema watarudi wakati zimebaki dakika tano na huku jamaa wapo juu . Akasema wewe unajifanya Liverpool Liverpool gani ama kama wafuasi wengine. Nikasema haijalishi kama naipenda Liverpool na napenda ishinde lakini leo tumezidiwa. Akajifanya kunisema mimi siyo Liverpool nikamuuliza kama yeye ni shabiki ama member na kama kishafikabhata anfield japo anaishi england. Hajawahi kufika nikamtolea membership card yangu valid ya Liverpool. Nikamwambia wewe ni mpiga domo tu huna mchaangobwowote waka timu mimi nalipia kila mwaka Shut it.

UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI SIKU ZOTE JAPO UNAUMA. Tulibalaswa na mapolisi baadabya mkutano wa mchungaji mtikila pale Jangwani. Leo vijana wa jana wanaitana makamanda wa mitandaoni hata mabomu hawajapigwa. Ukiwaambia ukweli wanakuita ccm book saba.

Kuna mdogo wangu na ndugu zangu walikataa kuongea na mimi mwaka 2015 wakisema mimi ni ccm sababu niliwaambia Lowasa hawezi kushinda. Walijidanganyabsana. Halafu wengi wao wana umri sawa na miaka ya vyama vingi. Nikawaambia 1995 mlikua wadogo tulidhani Mrema angechukua nchi wakasema mika imebadilika na wewe huishi hapa as if sisomi habari za nyumbani.
 
Mkuu watu wanapenda useme wanayotakuyasikia. Last week nilikua na mbongo mwenzangu tunaangalia mechi ya wolves v Liverpool. Niwamwambia Hii mechi Liverpool harudi, akasema watarudi wakati zimebaki dakika tano na huku jamaa wapo juu . Akasema wewe unajifanya Liverpool Liverpool gani ama kama wafuasi wengine. Nikasema haijalishi kama naipenda Liverpool na napenda ishinde lakini leo tumezidiwa. Akajifanya kunisema mimi siyo Liverpool nikamuuliza kama yeye ni shabiki ama member na kama kishafikabhata anfield japo anaishi england. Hajawahi kufika nikamtolea membership card yangu valid ya Liverpool. Nikamwambia wewe ni mpiga domo tu huna mchaangobwowote waka timu mimi nalipia kila mwaka Shut it.

UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI SIKU ZOTE JAPO UNAUMA. Tulibalaswa na mapolisi baadabya mkutano wa mchungaji mtikila pale Jangwani. Leo vijana wa jana wanaitana makamanda wa mitandaoni hata mabomu hawajapigwa. Ukiwaambia ukweli wanakuita ccm book saba.

Kuna mdogo wangu na ndugu zangu walikataa kuongea na mimi mwaka 2015 wakisema mimi ni ccm sababu niliwaambia Lowasa hawezi kushinda. Walijidanganyabsana. Halafu wengi wao wana umri sawa na miaka ya vyama vingi. Nikawaambia 1995 mlikua wadogo tulidhani Mrema angechukua nchi wakasema mika imebadilika na wewe huishi hapa as if sisomi habari za nyumbani.
Mkuu kwa katiba hii ya mwaka 70,na NEC hii ambayo viongozi wake wanachaguliwa na raisi na ni makada wa chama,haihitaji kuwa rocket scientist kutambua kuwa Tanzania haijawahi kuwa na uchaguzi huru na wa haki,wapinzani wanaweza kuambulia majimbo machache tu ya ubunge lakini kwenye Urais hawawezi kufua dafu kamwe.

Mi nlishalishtukia hili chezo kitambo tu ingawa umri wangu bado mdogo.

Cha kupambania ni Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya na bora ya hii iliyopo,kinyume na hapo tutaendelea kupiga mark time hadi yesu arudi.

Ni aibu kwa nchi ya kidemokrasia kutawaliwa na chama kimoja zaidi ya miaka 50,angalau basi tungekuwa na maendeleo.shida iko kwetu wanainchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wakurugenzi hao ndo lazima dawa yao ipatikane haraka...
 
Kwa taarifa yako ccm haihitaj na wala haimtegemei mtu mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huu muswada nikwafaida yanani kwamaana wapinzani hawautaki nabaadhi ya wanaccm haswa wabunge nao hawautaki naona rais nagenge lake ndio wako bize nao kuamini kuwa ccm haitegemei mtu au watu hojayako inamashaka jambo lipowazi kabisa muswada huu kunakitu umelenga umenunua wanachama madiwani wabunge sasa unaweka kufuli kwalengo lakuzibiti uliowavuna au wale waasili kwani nategemea muswada huu ukifanikiwa kura zamaoni ccm zitakuwa za kibabe ukichukizwa naubabe hauna pakwenda ufiehumohumo wakina ndioooo hapa naona mjiangalie mnaweza jichimbia kaburi la kisiasa
 
Back
Top Bottom