Nape Nnauye ni silaha itakayomuumiza sana JPM 2020

Ndo maana ameamua kumuibua maa a kapotea sana mbele ya magu hakuna sakufurukuta mifumo yake yote iko vzr ni kama msumeno
Kuna watu walimuona Jpm kama jamaa fulani hivi a siyejua kitu
Kumbe jamaa anaona mbali kaharibu system yote kapanga yake ambayo kuitikisa mpaka atoke madarakani ila kwa kina membe nape bado sana
 
Wakuu heshima kwenu.
Naomba nilete huu Uzi Na iwe kumbukumbu wakati Wa uchaguzi ujao.

Nape Moses atakuwa center ya mashambulizi muhimu sana dhidi ya chama tawala na serikali ya JPM.

Kwa Sasa Nape anaonekana kukaa ndani ya CCM kama reject , yaan regime haimtaki Na pia haiwezi kumfukuza, wengi wanamtazama Membe kama tishio lakin Nape ndiye tishio Kwa serikal katika uchaguzi far Kwa asilimia nyingi kuliko Membe.

Nasema haya iwe alarm Kwa serikal Na imake peace na Nape Kwa sababu naiona hatari hapo mbele.

Kwanza napaswa nikili kuwa Nape ni Moja ya watu wachache sana dunian wenye kipawa cha kipekee,nape unaweza kumpa ice cream ainadi kwenye winter na ikanunuliwa kuliko heaters.

Nape unaweza kumpa Mbatia kama mgombea uraisi akamnadi na Mbatia akawa Rais.

Najua chama tawala kinapenda kishinde kihalali pasipo kushindwa au kupata taabu kama mwaka 2015.

Nape Moses ana karisma ya kuvutia watu anapoongea, mpaka Sasa watu wanawaza Nape yupo upande upi ?

Uhakika nilio nao Nape hayuko upande Wa JPM Na hayuko upande Wa wapinzan Hawa tuwajuao.

Naiona CCM kama ANC kipindi cha jacobo Zuma na Mbeki ,Kwa psychologia ndogo na ya wazi kabisa hakuna anayetaka ahamie upinzan muda huu maana serikal itapata muda Wa kumdhoofisha, wengi wanasubir ambush attack hasa during near by election day.

Na ndio maana serikal Na chama tawala Kwa kustukia mbinu hio inaleta mswaada wenye lengo la kumtaka mgombea awe amekaa kwenye chama alichohamia walau mwaka mmoja ,hahahahaahaaa Sasa hapa target ni wale wahamiaji Toka CCM kwenda UPINZANI.

Lakin trust me Nape has outsmarted CCM na JPM Kwa miles nyingi sana, amewafanya wadeal na Membe na anatumia camophology hio kujiandaa vizuri.

CCM watapata suprise shock kubwa mno kama hawatashtukia utaalamu Wa Nape na kuendelea kumuona kama under dog.
Kwa kumalizia tu nikuhabarisheni Nape ni mtaalamu sana Wa kinachoitwa character assassination, Nape ndie mwanzilishi Wa msemo Wa oil chafu,etc

Watu wenye namna ya Nape ni kama Trump ambaye ni mzuri sana kwenye character assassination ,

Mwisho wa kutembelea nyota ya baba ushafika. Time will tell. Siasa bila kuwa mnafiki tafuta kazi nyingine ya kufanya
 
Aliekuambia nchi inakabidhiwa kwa vikaratasi nani.?
Nape amejichokea. Hana sifa hizo anazopewa. Amebebwa na jina la mzazi na kujuana kwa kina wao.
Mambo yamebadilika sana. Kama hajabadilika au haoni haja ya kubadilika atafute kazi nyingine.
After all uwezo wake kiakili ni mdogo sana
 
Sijui tunapoelekea ni wapi lakini hali ni mbaya.

Katiba yetu iliyopo haifai tena kwa wakati huu tulionao. Tukisema tunafanya uchaguzi kwa kutumia katiba hii ni kujidanganya nafsi zetu! Ni wehu uliopitiliza.

Kama hao wanaoitwa wapinzani watarudi tena kwenye uchaguzi chini ya katiba hii watakua wamepungukiwa na akili zaidi ya wale Wagalatia wa Mtume Paulo.

Na sioni dalili yoyote ya kudai marekebisho ya katiba. Ni bora tukae kimya kuliko kufanya uchaguzi chini ya katiba hii vinginevyo nchi itakua katika hali mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema vyema ...kongole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
New member umekuja na mbwembwe nying sana kutaka kuchafua watu

Naona kuna aliekutuma kuwa kafungue account mpya jamiiforum mahususi kwa kumchonganisha nape na wakubwa angalia kuna wenzio walianza hvohvo lakin walichemka. ..Nakuonya tena kawaambie wajipange upya waliokutuma

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kumbe kajoin JF jana tu ningejua nisingemjibu.
 
Sijui tunapoelekea ni wapi lakini hali ni mbaya.

Katiba yetu iliyopo haifai tena kwa wakati huu tulionao. Tukisema tunafanya uchaguzi kwa kutumia katiba hii ni kujidanganya nafsi zetu! Ni wehu uliopitiliza.

Kama hao wanaoitwa wapinzani watarudi tena kwenye uchaguzi chini ya katiba hii watakua wamepungukiwa na akili zaidi ya wale Wagalatia wa Mtume Paulo.

Na sioni dalili yoyote ya kudai marekebisho ya katiba. Ni bora tukae kimya kuliko kufanya uchaguzi chini ya katiba hii vinginevyo nchi itakua katika hali mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Very well said. Tatizo ni elimu.
 
Mwanawasa alivyomgeuka Chisano? Zambia na Msumbiji wapi na wapi? bottom line LEAVE NAPE ALONE
hicho unachokisema nimeshakirekebisha mkuu. Ni fredy Chiluba. Lakini hiyo haiwezi kutoa ukweli wa hii coment uliyoijibu. Matatizo ya watu kama ninyi muwe ccm ama ukawa hamuishi kwenye dunia ya ukweli mnaishi kwa kuota. Hivyo upo sawa I will leave you and your opportunist politician His excellent Zitto Kabwe
 
what is ZZK? once a traitor will always be, nitoe kwenye mambo ya ajabu kama huyu bwana, am just another dude on the planet so to say

hicho unachokisema nimeshakirekebisha mkuu. Ni fredy Chiluba. Lakini hiyo haiwezi kutoa ukweli wa hii coment uliyoijibu. Matatizo ya watu kama ninyi muwe ccm ama ukawa hamuishi kwenye dunia ya ukweli mnaishi kwa kuota. Hivyo upo sawa I will leave you and your opportunist politician His excellent Zitto Kabwe
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom