Nape Nnauye ni silaha itakayomuumiza sana JPM 2020

Sana ccm wanafiki sana, mwenye kiti akiwachekea tu na kuwapa uhakika wa matumbo yao wanasahu kila kitu so usimwamini sana nape
 
Kwamba nape ni tishio kwenye uchaguzi fair. Dalili hazioneshi mazingira kuwa fair, hivyo Nape siyo tishio.
 
Wakuu heshima kwenu.
Naomba nilete huu Uzi Na iwe kumbukumbu wakati Wa uchaguzi ujao.
Nape Moses atakuwa center ya mashambulizi muhimu sana dhidi ya chama tawala na serikali ya JPM.
Kwa Sasa Nape anaonekana kukaa ndani ya CCM kama reject , yaan regime haimtaki Na pia haiwezi kumfukuza, wengi wanamtazama Membe kama tishio lakin Nape ndiye tishio Kwa serikal katika uchaguzi far Kwa asilimia nyingi kuliko Membe.
Nasema haya iwe alarm Kwa serikal Na imake peace na Nape Kwa sababu naiona hatari hapo mbele.
Kwanza napaswa nikili kuwa Nape ni Moja ya watu wachache sana dunian wenye kipawa cha kipekee,nape unaweza kumpa ice cream ainadi kwenye winter na ikanunuliwa kuliko heaters.
Nape unaweza kumpa Mbatia kama mgombea uraisi akamnadi na Mbatia akawa Raisi.
Najua chama tawala kinapenda kishinde kihalali pasipo kushindwa au kupata taabu kama mwaka 2015.
Nape Moses ana karisma ya kuvutia watu anapoongea, mpaka Sasa watu wanawaza Nape yupo upande upi ?
Uhakika nilio nao Nape hayuko upande Wa JPM Na hayuko upande Wa wapinzan Hawa tuwajuao.
Naiona CCM kama ANC kipindi cha jacobo Zuma na Mbeki ,Kwa psychologia ndogo na ya wazi kabisa hakuna anayetaka ahamie upinzan muda huu maana serikal itapata muda Wa kumdhoofisha, wengi wanasubir ambush attack hasa during near by election day.
Na ndio maana serikal Na chama tawala Kwa kustukia mbinu hio inaleta mswaada wenye lengo la kumtaka mgombea awe amekaa kwenye chama alichohamia walau mwaka mmoja ,hahahahaahaaa Sasa hapa target ni wale wahamiaji Toka CCM kwenda UPINZANI.
Lakin trust me Nape has outsmarted CCM na JPM Kwa miles nyingi sana, amewafanya wadeal na Membe na anatumia camophology hio kujiandaa vizur.
CCM watapata suprise shock kubwa mno kama hawatashtukia utaalamu Wa Nape na kuendelea kumuona kama under dog.
Kwa kumalizia tu nikuhabarishen Nape ni mtaalamu sana Wa kinachoitwa character assassination, Nape ndie mwanzilishi Wa msemo Wa oil chafu,etc
Watu wenye namna ya Nape ni kama Trump ambaye ni mzuri sana kwenye character assassination ,
Nape atakua nje ya ulingo, kwani hujaisoma ile sheria mpya ya vyama vya siasa, ukikatwa unasubiri mwaka upite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi niliwatoa thamani hao wapinzani mwanzoni kabisa. Tulihamasika sana mwanzoni wakati NCCR ilipoanza kwa kongamano pale Diamond Hall. Lengo la NCCR lilikua kudai katiba mpya ya vyama vingi pia kuwepo na serikali ya mpito kushughulikia katiba kabla ya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi. Viongozi wetu wakatusaliti. CCM ilipandikiza watu wake. Upinzani ulianza kugawanyika hata kabla ya uchaguzi. Muasisi wa harakati za vyama vingi Tanzania mzee James Mapaalala akawekwa kando. NCCR ikabadilishwa kutoka daràja la harakati za kudai katiba mpya mpaka chama cha siasa. Wakaogezaa Mageuzi na kukisajili kama chama. Sisi wenye akili timamu tulijua waliuvaa mkenge lakini watu wanaojidanganya kama baadhi ya wafuasi wa upinzani humu JF wakabaki wakiwa kama mafisi wakisubiri mkono wa binadamu udondoke. Sasa miaka zaidinya 20 imeshapita bado wanadhani wataishinda ccm. Tukisema ukweli wanatutukana wengine hata hawakuwepo wakati vyama vingi vinaanzishwa. Ati wanaaitana makamanda kuna kamanda zaidi ya hayati Mtikila?

CCM itaendelea kutawala mpaka mtu mpenda haki aje awageuke wenzake kama mwanawasa alivyomgeuka Chisano. Kama siyo tubaki kama mafisi kuusubiri mkono uanguke. Mwaka 2020 ni pigo kwa upinzani sababu watapoteza viti vingi. Kuna report imetolewa na EI kwamba Magufuli na ccm watashinda kwa kishinda sababu playing ground haiko fair. HAPA MAKAMANDA WANADHANI LISSU ATABADILISHA MABOX YENYE KURA KUWA ZA KWAO.

WAZARAMO WALISEMA 'KARAGA BAHO NA UBOZI WAKO"
WABILAH TAWFIQ WAS SALAAM ALAYIKHUM WA BARAKATUH
Mwanawasa alivyomgeuka Chisano......!!!! Hii sijaielewa kabisa.
 
Mwanawasa alivyomgeuka Chisano......!!!! Hii sijaielewa kabisa.
Sorry Chiluba Frederick siyo Chisano.
Mwanawasa na Chisano walikua chama kimoja. Chiluba alimpasia kijiti mwanawasa amlinde. Mwanawasa alipoingia madarakani awauliza wazbia afanyeje na rais aliyepita maana alitumia madarska vibaya. Wakamfungulia kesi mahakamani kama yeye Chiluba alivyomuonea KK kifo ndicho kilimaliza kesi yake.
 
Siyo Nape tu..
Upande ule wapo wengi sana..!!
Sema upinzani ndo hauwapi matumaini yoyote kwa sasa..!!
Ila ni suala la muda tu..
 
Sorry Chiluba Frederick siyo Chisano.
Mwanawasa na Chisano walikua chama kimoja. Chiluba alimpasia kijiti mwanawasa amlinde. Mwanawasa alipoingia madarakani awauliza wazbia afanyeje na rais aliyepita maana alitumia madarska vibaya. Wakamfungulia kesi mahakamani kama yeye Chiluba alivyomuonea KK kifo ndicho kilimaliza kesi yake.
Nafikiri unamaanisha Fredrick Chiluba (Rip) aliyekuwa rais wa pili wa Zambia after Kaunda. Joachim Chisano (Rtd) ni rais wa pili wa Mozambique na sasa ni mstaafu.
 
Uchaguzi wa 2020 unaweza kuwa na Tension kuliko wa 2015.Hata hivyo,natabiri Dr.Magufuli kushinda kwa muhula mwingine wa pili (tena kwa kishindo).
 
hawa watatumika wakati wa kampeni tutampa cheo cha ukampeni Manager.
 
Hivi kuna watu wazima wenye akili timamu wanategemea CCM kutoka madarakani 2020?
 
Mwanawasa alivyomgeuka Chisano? Zambia na Msumbiji wapi na wapi? bottom line LEAVE NAPE ALONE

Back
Top Bottom