Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,119
mwache ajifanye kichwa ngumu kina Kitwanga wanapiga kazi zao na wako poa kujifanya mjuzi nikujitaftia matatizoHivi ataongea nini.,mabadiliko ni ya kawaida ktk kazi wangap wamebadilishwa wako kmya tu tena bestfriend,shauri yako maneno mengi madhara mengi pia.
Kwenye makaratasi sawa lkn kwenye uhalisia HAPANAMwenye nchi ? Nchi yetu sote hakuna mwenye hati miliki
Unadhani mkata Umeme na Nape nani ana mizizi imara ndani ya ccm?Ccm ni chiboko nape atatulia tuli kama lowasa..
Nape kaa kimya ndugu yangu mshukuru Mungu utatumiwa majeshi usicheze na mwenye nchi
Mbavu zanguuuuuyani bashite at a akitaka kukubaka ni bora uumpe tu kwa hiari
Kwani kasema ataongea na wanahabari
hana kosaKwani kosa lake ni lipi?!
Ka-tweet kitambo kwamba ataongea na media!!Kwani kasema ataongea na wanahabari