Sema chochote baba Nape,na nafsi yangu itapoa.
Wamemwaga mboga nawe malizia tulale njaa wote leo.
Hana ushujaa wowote. Alishangilia sana maumivu ya wengine sasa zamu yake. Acha tuisome namba woteNape shujaaaa...Nape wewe ni shujaaaa!Mungu akusimamie ktk hili!
Ya kwetu sote yeye ni nani asiambiweNape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
We mkolomije wa wapi wewe! Sucks!!!Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
La mujar de mi vidaHii tamthilia kali
NonsenseNape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Kwanza nikupe pole sana, hizi ndizo gharama za kuutetea ukweli daima. Lakini kumbuka kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu. Bila wewe na mzee Kinana kuifufua CCM leo tungekuwa tunasema mengine.
USHAURI:
Ninayeandika haya ni kiongozi ndani ya UKAWA, tungekuhitaji sana kwetu na tunakuhitaji sana lakini siyo saa hizi. Kwa jinsi nchi inavyoendesshwa tunahitaji wapinzani ndani ya CCM. Tunawahitaji wengi sana.
CCM inafika mwisho lakini tunataka kifo chake kitoke ndani ili utabiri wa mwalimu ukamilike. Nadhani umenielewa na nitarudi ku-comment chochote baada ya wewe kuonyesha msimamo wako.
Asante
Mwenye nchi Nani?Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Mwenye nchi ? Nchi yetu sote hakuna mwenye hati miliki
hahahaa..aliyekwambia nape anahama chama ni nani ? unafikili nape hajui kusoma alama za nyakati ,Nape akithubutu kuhama ataishi kama digi digi ndani ya msitu wa simba
wewe unayo hiyo hatimiliki na je unaijua ni ya miala mingapi 33,60,99 au 100?Mwenye nchi ? Nchi yetu sote hakuna mwenye hati miliki