Nape Nnauye amuwakia aliyemuuliza juu ya posti yake ya Bombadier

Ngoja aje sasa ana mihasira na anaongea kwa kuhema utafikiri kakabwa, hii wiki atabwabwaja mpaka asira zije ziishe patakuwa hapatoshi, ...

Baada ya kuangalia mustakabali wa chama wewe unaangalia habari za Nnnape
 
Ngoja aje sasa ana mihasira na anaongea kwa kuhema utafikiri kakabwa, hii wiki atabwabwaja mpaka asira zije ziishe patakuwa hapatoshi, ...

Sasa mbona wewe ndio umeanza kubwabwaja mapema hadi hatuelewi hichi ulicho andika?
 
CCM ni Chama Dola!

Ndio, ni chama chenye kushikiria maamuzi yote ya Polisi, Jeshi nk
Si unakumbuka Mlimziba Nnape asiongee na Vyombo vya Habari, tena kwa kutolewa Bastola mchana wa juakali huku Dunia ikiangalia

Mnaanza na Nnape, kesho Bashe, keshokitwa Nyarandu.....Mwisho chama kitabakia na Wageni wasiokijua chama na wala hawana uchungu nancho
 
Chama kitabaki na wazamiaji tu,watu wasiojua safari ya chama ilianzia wapi.Poor CCM.Ukiwauliza Nape amefanya nini kibaya au Nyalandu,wala hawana point za msingi,utaskia tu wanawatetea upinzani.Bure kabisa hawa.Hili lichama bila polisi hakuna kitu kabisa.
 
Back
Top Bottom