Nape Nnauye amuwakia aliyemuuliza juu ya posti yake ya Bombadier

Unatumia simu gani mkuu..?? Mbona inasikika..?? Jaribu kucheki speaker za simu yko
Nimeshagundua tatizo ..nilikuwa natumia earphone ambapo sauti ya Nape ipo chini sana kuliko ya anaehoji nikisema niongeze sauti kidogo inakuwa inaumiza sikio kwa sauti (nimejaribu bila earphone kwa kuongeza sauti mpaka karibia mwisho ndio sauti ikasika ya Nape ambapo kwenye earphone lazima sikio lipasuke)
 
Safi
 
Ndani ya CCM baadhi wameanza kujitambua.

Kujitambua???? Sidhani....Kama wapo nadhani bado wanadhani enzi za kuleana bado zinaendelea...come 2020 wengi watapotea...kinachosikitisha ni kuwa wengi bado ni vijana...wanadhani kupiga kelele na kutishia kuondoka CCM bado ni mtaji..Huwezi kuanza kushutumu chama wakati ulipokuwemo ulikuwa unatetea yaliyokuwepo...Umeitoa CCM shimoni??? Let's wait and see...what goes around comes around..comes all the way back around...
 
Nimeshagundua tatizo ..nilikuwa natumia earphone ambapo sauti ya Nape ipo chini sana kuliko ya anaehoji nikisema niongeze sauti kidogo inakuwa inaumiza sikio kwa sauti (nimejaribu bila earphone kwa kuongeza sauti mpaka karibia mwisho ndio sauti ikasika ya Nape ambapo kwenye earphone lazima sikio lipasuke)
kwangu ilikua hivyo ila nilivyo fuata link na kuichek hukohuko YouTube ndipo nikasikia sauti za mhojiwa na anaye hoji
 
Mkuu sio huyo peke yake wapo wengi sana ila wapo kimya wanatafuta pakuanzia au ufike muda muafaka
Hahaha mkiongea hivi ninakumbuka wale wabunge 40 kutoka ccm wa Mbowe hahaha chadema Mungu awatunze sababu sio kwa bardani hii ya bure
 
Bado anamaumivu yakuvuliwa uwaziri,nikinukuu anasema wao wakina nani tumekesha porini miaka 2 wao wakinywa bia tu.icho ndio kinamtesa kwanini adharaulike wakati yeye kakipigania chama
Aliekipigania chama ni lubuva nape aache kuropoka hana mchango wowote
 
Even colonialists planted seeds of their own destruction. I bet there comes a time when the rulers/oppressors will burn in their own strategies when the oppressed will be taking over the true freedom in this country!
 
Mbunge wa Mtama ameseikia akimuwakia mtu aliyekuwa akimuuliza juu ya tweet yake aliyoituma juu ya wananchi jimboni kwake kutojua nini maana ya Bombadier

Jamaa huyo alionekana kama anamshtumu Nape kuwa ameigeuka serikali aliyokuwa akiunga mkono na Nape aakasikika akimtukana mpu****

msikilize

Nape ni mtu mdogo mno kwa ccm, umaarufu anaoutafuta ataukosa mpaka ashangae
 
Nape 2020 hata ubunge ataukosa manake jina halitaludi ha ha ha ha ha asicheze na mwenyekiti huwa hajalibiwi.sasa sijui atafanya ishu gani mjini
 
Back
Top Bottom