Nape Nnauye amuwakia aliyemuuliza juu ya posti yake ya Bombadier

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Mbunge wa Mtama ameseikia akimuwakia mtu aliyekuwa akimuuliza juu ya tweet yake aliyoituma juu ya wananchi jimboni kwake kutojua nini maana ya Bombadier

Jamaa huyo alionekana kama anamshtumu Nape kuwa ameigeuka serikali aliyokuwa akiunga mkono na Nape aakasikika akimtukana mpu****

msikilize

Aisee nape amepata fahamu kamili, hii ni habari njema kwa watanzania kuona na kusikia wanaccm wanajitambua
 
Mbunge wa Mtama ameseikia akimuwakia mtu aliyekuwa akimuuliza juu ya tweet yake aliyoituma juu ya wananchi jimboni kwake kutojua nini maana ya Bombadier

Jamaa huyo alionekana kama anamshtumu Nape kuwa ameigeuka serikali aliyokuwa akiunga mkono na Nape aakasikika akimtukana mpu****

msikilize

Nilichogundua ni kuwa wabunge na wafuasi wengi wa Chama Cha Makinikia wanaanza kuwa na akili wakipata dhoruba. Naona Nape Nnauye kaanza kuwa na akili kidogo.
 
Walikuwa wanafikiri matatizo ni ya upinzani tu sasa na wao wameanza kuisoma namba akili zimewarudia kidogo
Baba yako akiwa mlevi na ukisikia watu wanamsimanga kwa ulevi wake utafanyaje? Kama unakubaliana na ukweli utanyamaza kimya tu na utaendelea kumtumikia kama baba lakini hutoweza kumsimanga japokuwa hupendi matendo yake!
 
Back
Top Bottom